Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

R' hebu mcheki uongo wake hapa chini.... lol





PA usiniambie wale mabinti ulokua unawachanganya umelikoroga?? lol... Wee ndo wa kukaa pembeni with hizo reasons umetoa?? C'mon!!

Nimeuona na anajua kudanganya kweli
Duh namkubali kwa kujua kudanganya
 

Halafu mie nalipenda kweli hilo jina la Roulette, mwenyewe angejua na avatar yake nikiiangaliaga........huwa vinanikosha kweli coz najua hapo lazima nikutane na post ya ukweli dah!!!
 
Mihangaiko wangu si unajua tena bongo na jua letu....lol




Acha hizooo,nikiuliziwa na wanaonijali unaguna!! Wewe laaziz kimyaaaa hata moyo hauendi tuk tuk tuk.....mmh bora KANNAK wangu

Nimekumiss mbaya
Nimeona kuna jamaa anataka kukupenda penda ghafla
Mekumiss noma
 
Do something then....
Hommie, nlikuwa nakula timing ili nichangie kwenye post #1000. Nikasahau kuna mijeba huwa hailali kwa sababu ya addiction ya JF. Hii imenifanya nifall in love kwa Roulette wa Kirusi. Ukimuona mpe salamu nyingi sana, mwambie mchumba wake Gaga anamsalimu.

Baada ya kusema hayo, naomba unipe ruhusa nianzishe sredi. Kuna kitu nimejifiunza nataka watu wakijue. Kina uhusiano na uzazi wa mpango.
 
Am lucky niliiwin post ya 1000...
 


ODM Nimecheka mpaka kufurahi... Ulipredict eeeh?? lol Mbona hio topic sijaona ya Uzazi??

Am lucky niliiwin post ya 1000...

Si Mchezo.... HONGERA Saaaaaana Rejao my brother from another mother....lol

Consider it done brother
Huwa sichelewi inapokuja swala la kupiga penalt maana one mistake a thousand goals

Wee si ulisema lile Kundi halikuhusu kabisa... (what going on hapa??) Naomba usimpe Pressure mdogo wangu kama anazonipa kakako...Please.

dah ... babu yamekuwa hayo?? will have to consult Kaizer on this! Nalog off .. l.o.l


Nawewe Punguza woga...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…