You Can Say That Again!Asante Shem... I have noticed hio and I am being careful, This thread imetuleted brand new members kama 5 if not mistaken.... Am a bit careless for i know you are there to protect me when Sweetie is not there....lol
FPNI ndio nini?Asante Shem... I have noticed hio and I am being careful, This thread imetuleted brand new members kama 5 if not mistaken.... Am a bit careless for i know you are there to protect me when Sweetie is not there....lol
FPNI ndio nini?
Ameenda kununua tembele
Dada bana,nafanya mazoezi ya kumchekesha wifi yako nikimpata........lol(kiding)haya bana na mambo yako ya kufall in mapenzi,huenda nikijua siku nija kuwa humo(kama itakuwepo)
Kwanza tu kwa mzuka uloingia nao nahisi you are in LOVE....lol
Asante sana AshaDii, naipenda MMU pia ila sijui kama kweli ndio jukwaa tamu kuliko zote... kuna jukwaa zingine zimenoga pia 🙂Mwali i am humbled hii Thread imekuvuta... Hili jukwaa linaitwa MMU, Ndo Jukwaa tamu kuliko majukwaa yooote hapa JF, Karibu saaana dear. Sasa basi niseme kweli nimefurahi zooote zimetick YES..... Who is the Lucky person? lol
Alafu utatembelea na hapa LINK Kwa ajili ya kupiga hodi kwa kujitambulisha au sio??
🙂 unabisha au unauliza?Hivi Mwali kweli mwali au.......!!
Cheka uongeze siku za kuishi mama!
sio mimi ni gazeti lohYaani kama ni kweli, basi siku zangu za kuishi zimeongezeka sana leo kwenye hii thread!! Post yako imenichekesha, na kabla ya kicheko kuisha, nakutana tena na bomu lingine smile kazungumzia mashuke, sijui pilipili.........mweeh!!! Hahahahaaaa lol!
🙂 unabisha au unauliza?
kloro una kesi ya kujibu bwana muulize ashadiiKhaaa huu msredi umekimbia hata skupata kuurewind , hebu nidokezeni nani kafall in love na mimi? kipipi?
Lawyer hashtakiwi, ombeni razi kabla sjawageuzia kibao mbele ya kipipikloro una kesi ya kujibu bwana muulize ashadii
Haya basi, kaa kaa ready tu, utapokea kadi hivi karibuni...Nauliza ili nijiandae kula ndafu na pilao!
Asante sana AshaDii, naipenda MMU pia ila sijui kama kweli ndio jukwaa tamu kuliko zote... kuna jukwaa zingine zimenoga pia 🙂
Asante kwa link yako, nimesha ifanyia kazi.
the lucky person is my man... need I say more?