heheh yep! uswazi ndo mpango mzima jibaba, wana vislogan vyao vya ajabu ajabu wanakwambiaga "zambi haihitaji kinga" unapewa raha kav bila woga aisee.
Hahahaha! Swahiba bana kwa kuyeyusha sikuwezi, si umwambie tu AshaDii kuwa You think your in love with me yaishe!. Maneno yako yanapingana na hizi PM ulizonitumia!hehehe hapana bana, nimepazal alifikaje cafe wakati leo skumpitia kumpa lifti?
Siasa sio nzuri usije ukawa kama KlorokkwinOoh! Very sorry honey, sitarudia tena! Kwa jinsi nilivyokumiss wakati nipo jela we acha tu! Sirudii ati! Lol
Hahahah huyu nyamayao wangu ananitosha nikizidisha wakawa wawili halafu wote ni type moja ni kipigo tu ntaambuliaAre you in Love with Nyamayao?? lol
hehehe acha niandae listi yangu ya nitakaowatandika ban bila sababu ya msingi
Ubarikiwe Ashadii (source: Biharusi Miss Judith (itakuwa ana kaujauzito tu maana haonekani sku hizi))
Dah! soldier uko araund? msalimie kandambili bana! leta majina ya uswazi twende kazi kama kawaSasa siku hiyo umkute Hidaya Sura ya Kopo kakusanya mashostito wake kwenda kumsuta Nyangwende Ramadhani....heheheeee full burudani hapo kaka.
Hahaha! Kumbe kloro siasa ndio zimemharibu hivyo? Daaah, laana hizo za kuwaambia vijana wa watu wanaota jua kama sola paneli ndio zinamuandama ujue! Afu nna kesi na wewe bana...Siasa sio nzuri usije ukawa kama Klorokkwin
Dah! soldier uko araund? msalimie kandambili bana! leta majina ya uswazi twende kazi kama kawa
Hahahah huyu nyamayao wangu ananitosha nikizidisha wakawa wawili halafu wote ni type moja ni kipigo tu ntaambulia
Hahaha! Kumbe kloro siasa ndio zimemharibu hivyo? Daaah, laana hizo za kuwaambia vijana wa watu wanaota jua kama sola paneli ndio zinamuandama ujue! Afu nna kesi na wewe bana...
Who is the Lucky lady?? lol... Warning: Usinibanie!! lol
Which song can you try??
I don know for sure but i have a list of songs i can perfom
Duh umerudi umesha maliza kazi za kulijaza taifa mtoto wa bilioni ngapi yule??
Kesi gani tena sweet....Hahaha! Kumbe kloro siasa ndio zimemharibu hivyo? Daaah, laana hizo za kuwaambia vijana wa watu wanaota jua kama sola paneli ndio zinamuandama ujue! Afu nna kesi na wewe bana...
HahahaaaAm alwayz around ma man!
Nipo hapa kwa Ayubu Msaga Sumu nakula chipsi na kubrauzi JF kupitia huduma yake ya Wi-Fi.
Gagurito, hio sasa ndo habari... Me I am in love with you being in Love with MMU.....lol
Sweet "Sweet lady" hope leo your day was Sweet....
heheeh watoto wa geti michosho tu kamanda,wewe unaomba gemu wao wanataka muangalie tamsilia.Hahaha mate yako tu yananogesha mpango mzima, mm uswazi sihami nimeshusha mabegi yote ya mapenzi huko.
Nimehama watoto wa geti, watoto wa chipsi kuku, watoto wa Bavaria, watoto wa Heineken