Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Hahahaha.... Baba Sharon... Wivu katika mapenzi muhimu... Ujue tu ku-monitor wivu wako.....lol
Hizo Monitoring skills za huo wivu ndo shida sasa..........kuna kipindi simu inapigwa akilegeza sauti tu dah roho inaniuma mbaya tena saa nyingine unakuta ni shosti yake tu
 
Mama Tuli na Rocky nitafutieni Smile wangu mumlete hapa dah mwambie asipende kusikiliza habari za uzushi za mitaani atakufa kwa presha bure

Amekusikia na yupo mlangoni hapa anakusubiri
Ila wapambe wengi angalia sana usije jikwaa bure
 
Hahahaha!!! Arifu banaa ukijumlisha na hiyo sauti ya Khia the song sets the mood right

Arifu..hiyo joint ilikuwa mini-anthem flani hivi. Khia amedata yule mdada.

Sasa piga picha Smile ndo anakuimbia hivyo....
 
R' i love this song... It is a classic an all time song.... Nice selection pal...

Kingosho una mambo wewe mdada wewe.... yaaani naona hapo Boss saizi yake!!! lol

Kila siku napata jambo jipya na ufumbuzi mpya wa wapi nilienda wrong kutoka siku ya kwanza
Na gamba la nyoka linavulika taratibu then rangi yake halisi utaiona
Ila kuumbuka kugumu sana wakati nyoka atakapojionyesha ngozi yake mpya
 
Hizo Monitoring skills za huo wivu ndo shida sasa..........kuna kipindi simu inapigwa akilegeza sauti tu dah roho inaniuma mbaya tena saa nyingine unakuta ni shosti yake tu

Itabidi tukutafutie darasa aisee!! Kwanini umnyase nyase mwenzio?? lol
 
Kila siku napata jambo jipya na ufumbuzi mpya wa wapi nilienda wrong kutoka siku ya kwanza
Na gamba la nyoka linavulika taratibu then rangi yake halisi utaiona
Ila kuumbuka kugumu sana wakati nyoka atakapojionyesha ngozi yake mpya

R' mbona umeniacha haywire??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom