Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

But now you are asking the company to hire without 'probation' which
can have its own negative results...lol there is no other way out...or is there??

Hey the CV of a person says volumes... that alone can give you an insight if indeed a probation is needed, then you look at the package for you do know a good employer is fully equipped in human resources... thus knows the goods and wats not in a glance.... OR am i wrong Boss??
 
mnh, zaidi ya shughuli ya kufua baada ya hizo wet dreams kuna la ziada ndugu yangu? mnh!

hahaha.... this echoes the sounds of being there before... IMO its beta hata wet dreams kuliko nothing at all....lol... kufua mashuka sometimes is worth the dreams....
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
alivyo na mawivu Kipipi mapenzi atayaweza kweli?

nimekushangaa.
nyaniNgabu hajambo? Anakufanyia wo wo nawe unasinyaa,kha!!

hahaha... naona you are trying to stir things up.... Me i enjoy him under his NN ID.... I love the kid on the avatar, it melts my heart and solidifies my words, sasa hizi ID nyingine not worth my effort.....lol
 
Unafikir angeniacha hapa?? Mbishi huyo usiombe, hapa kisha pata vyake kapata usingizi nikanyemelea kutoka kitandani... BUT soon naenda lala...lol

hizo kamba mfunge bebii na smile,nimefuatilia huu uzi mwanzo page one mpaka hapa tunaelekea thelathini,na ninakwenda time kwa time,sijaona gap ambayo umechomoka na kurudi,au twambie mwenzetu ndo yale ya uani huku unaosha vyombo kwenye fence,huku upande wa pili kwenye fence jamaa anatoboa katundu kadoooooooogo!!!!!!!
 
Hey the CV of a person says volumes... that alone can give you an insight if indeed a probation is needed, then you look at the package for you do know a good employer is fully equipped in human resources... thus knows the goods and wats not in a glance.... OR am i wrong Boss??

well CV can be fake....
and the experience can be the wrong one lol
so always 'probation' is the only way to find out lol
 
hahaha... naona you are trying to stir things up.... Me i enjoy him under his NN ID.... I love the kid on the avatar, it melts my heart and solidifies my words, sasa hizi ID nyingine not worth my effort.....lol
hujalala tu? Mwambie mama Tully g nite bishanga anakoroma saa hizi amekumbatia mto....mmmmhhhh maisha haya!
 
hizo kamba mfunge bebii na smile,nimefuatilia huu uzi mwanzo page one mpaka hapa tunaelekea thelathini,na ninakwenda time kwa time,sijaona gap ambayo umechomoka na kurudi,au twambie mwenzetu ndo yale ya uani huku unaosha vyombo kwenye fence,huku upande wa pili kwenye fence jamaa anatoboa katundu kadoooooooogo!!!!!!!

Hakyanani tena B' una mambo wewe.....lol... Una mpango wa kuniadhirisha ama?? Hivi yale mambo yanachukua mda gani (ukizingatia anakua amechoka leo mpira ni half time sio dakika 90) Napenda niongee with evidence....lol.... Kuna post #411... ilofuata ni post # 466 hapo kati kuna gap ya masaa almost matatu na nusu.... Hayatoshi hayo?? Buji Buji kabisa wewe!! (tusi jipya la jf)
 
if you go for a job interview....and you got the job without the interview.....
1.will you respect the company? trust it???? the answer is no......

but if you are told 'wait for our call and later they do call you...
'you will jump for joy.'right??????

but they dont have to call you if they do have a better candidate ,right???? lol
have i answer ur question????lol

so the gal has to wait for the call.....lol

Dah......!! Leo nyie pple mna theories, sijui mmezitoa wapi!
 
well CV can be fake....
and the experience can be the wrong one lol
so always 'probation' is the only way to find out lol

I am starting to get worried ujue?? Is the Boss a fake one and not that resourceful when it comes to human resources.... that he has to them in action first?? i doubt...
 
I am starting to get worried ujue?? Is the Boss a fake one and not that resourceful when it comes to human resources.... that he has to them in action first?? i doubt...

well you still dont understand....kabisaaa...lol
some information are company secrets lol....
 
well you still dont understand....kabisaaa...lol
some information are company secrets lol....

oooh! i do understand....lol... The employer just seems to be iffy....l
He seems to be a mchakachuaji... Labda the question i should be asking
what does the probation period entail??
 
oooh! i do understand....lol... The employer just seems to be iffy....l
He seems to be a mchakachuaji... Labda the question i should be asking
what does the probation period entail??

Now this is more interesting...
You are acting like 'the agent of the job seeker'....lol
are you?
is the info more 'important to you'???
the 'job seeker will be notified ' the neccessary info for the co and empoloyees...lol
 
Hakyanani tena B' una mambo wewe.....lol... Una mpango wa kuniadhirisha ama?? Hivi yale mambo yanachukua mda gani (ukizingatia anakua amechoka leo mpira ni half time sio dakika 90) Napenda niongee with evidence....lol.... Kuna post #411... ilofuata ni post # 466 hapo kati kuna gap ya masaa almost matatu na nusu.... Hayatoshi hayo?? Buji Buji kabisa wewe!! (tusi jipya la jf)
Asha bana,ninachofahamu mimi kazi unafanyia city centre,kuishi bunju,sasa toka kazini foleni za dar kufika nyumbani kwako 2hrs,ufike,uende jikoni,uangalie usafi wa nyumba,ufue kufuli alizoloweka mzee,ubadili mataulo chumbani,uangalie maua garden,umsalimie jirani,uangalie homework za watoto,upige umbea kidogo kwenye simu,u ucheck afya ya mama kwenye simu,umwite fundi bomba......hivi hayo masaa matatu bado yapo tu yanakusubiri mwanamke wa uswazz? Labda ulaya.
Narudia kutoa maagizo,ingia chumbani umkumbatie mmeo.
 
hahaha... Boss.... Dah! Hio probation hopefully thamani haitashushwa as a result of excessive repetition of work!

Ukishapita probation, no kuanza tu kumchanganyia habari, anakutuma kutoa photocopy, unashred mkataba. Anakutuma umtengenezee chai unaiwekea pilipili mbuzi. Everyone has something bad or good.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom