Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Halafu mapenzi is very very automatic, unamwona sometimes mtu humjui, hakujui, tena si msafi saana, basi tu unaanza kumtamani in short time na kumpenda alivyo, unaanza kuhema juu juu, unatetemeka, loosing ur confidence, unaangalia angalia ka mwizi, na vimacho vya haiba, weweee..
 
Si nilishasema nilifall kwa Smiles?

Mbona nimekusoma hapo nyumba you are searching....lol... Hili nahisi kabisa changa la macho.... na mbaya zaidi nahisi you are in love but waogopa....lol.. Labda because she belongs kwa mwingine or sababu you are scared of mafilingi....lol
 
kwaiyo hii thread imetugeukia sisi wahanga wa broken heart jamani?

Jamani mdogo wangu.... Read between the lines... Leo ni Loving and Loving and Loving kuenda mbele.....lol
 
halafu mapenzi is very very automatic, unamwona sometimes mtu humjui, hakujui, tena si msafi saana, basi tu unaanza kumtamani in short time na kumpenda alivyo, unaanza kuhema juu juu, unatetemeka, loosing ur confidence, unaangalia angalia ka mwizi, na vimacho vya haiba, weweee..
yaani unaweza kufall kwa mtu badae unakuja kushangaa hv ulimpendea nini maana unakuta hata umfurahii kiviile ulivotegemea
 
Dada,is not that simple,lakini faham najua kuwa mwanaume hajakiwi kuogopa changamoto zozote ndo maana akawa mwanaume,ila naomba pia ujue msimamo wangu ni wa sasa may be kesho naweza kuamka na mtazamo tofauti,ziziogopi changamoto za mahusiano,i just don't want to!At least for now!
 
Halafu mapenzi is very very automatic, unamwona sometimes mtu humjui, hakujui, tena si msafi saana, basi tu unaanza kumtamani in short time na kumpenda alivyo, unaanza kuhema juu juu, unatetemeka, loosing ur confidence, unaangalia angalia ka mwizi, na vimacho vya haiba, weweee..

Yaani Prezidaa naona tupo wooote pamoja kabisa, hapo juu si masihara aisee.....lol
 
Halafu saa zingine mimi huwa nahisi kuwa kwa wengine inaweza kuwa sio LOVE bali ni INFATUATION. Real LOVE takes time.
Mara nyengine huwa ninasikia kitu inaitwa "Love at first sight". Can this be true love?

Ukitaka kujua ni Infatuation wewe lala na mhusika then you will know...lol
Mpaka ulale naye ndio ujue kuwa ni Infatuation au love? Tunawezaje kutafautisha baina ya Mapenzi na matamanio?

(I love this Love related quote)
"I have loved to the point of Madness,
That which is called madness,
That which to me is the only sensible way to Love" – F. Sagan.
[/QUOTE]

Katika mapenzi, kwa kuangalia points 10 ulizotoa pamoja na quotation uliyoweka, ninakubaliana na maneno ya Filosofa Nietzsche kuwa:
"There is always a little madness in loving, but there is also some reasons in the madness".
Nasema hivyo kwa sababu imenitokea kupenda nisiyemjua physically na sina hakika kama daima nitamjua, lakini kama alivyosema mmoja kabla, huwa ninasubiri messages na simu zake, ili midundo ya moyo ipungue. This is the madness in love Im talking, but Im conviced that there's some reasons behind this madness.
 
ODM My Darling shem....

Kupenda mtu zaidi ya mmoja (na woote ukawa na mahusiano nao) kwa wakati mmoja yawezekana....
kua na mapenzi ya dhati kwa zaidi ya mtu mmoja, IMO naona hapana... haiwezekani...
Hivo basi kwa mkatadha huo i understand kabisa hali ya kua na feelings zaidi ya mtu mmoja.
Ntarudi tena kwenye darasa la mapenzi aisee,

Kwahiyo unataka kuniambia hawa watu wanaooa wake wawili, kuna mmoja anakuwa anapendwa zaidi ya mwingine?
 
Dada,is not that simple,lakini faham najua kuwa mwanaume hajakiwi kuogopa changamoto zozote ndo maana akawa mwanaume,ila naomba pia ujue msimamo wangu ni wa sasa may be kesho naweza kuamka na mtazamo tofauti,ziziogopi changamoto za mahusiano,i just don't want to!At least for now!

Thats the sprit!! Glad you are my brother..... Mungu ajalie Eiyer....
 
Katika mapenzi, kwa kuangalia points 10 ulizotoa pamoja na quotation uliyoweka, ninakubaliana na maneno ya Filosofa Nietzsche kuwa:
"There is always a little madness in loving, but there is also some reasons in the madness".
Nasema hivyo kwa sababu imenitokea kupenda nisiyemjua physically na sina hakika kama daima nitamjua, lakini kama alivyosema mmoja kabla, huwa ninasubiri messages na simu zake, ili midundo ya moyo ipungue. This is the madness in love Im talking, but Im conviced that there's some reasons behind this madness.

Mamammia.... This post is INTENSE.... Na nimeipenda kwa sababu mbili...

  1. Ulomqoute anakubaliana na quoation yangu....
"I have loved to the point of Madness,
That which is called madness,
That which to me is the only sensible way to Love"

Versas
"There is always a little madness in loving, but there is also some reasons in the madness".

  1. Hivo nimeelewa maelezo yako hapo juu kwenye purple .... KABISA!! It is crazy being in LOVE jamani .... Khaa!!
 
mara nyengine huwa ninasikia kitu inaitwa "love at first sight". Can this be true love?

?
.
yap inawezekana ila tatizo hapo hayo mapenzi yanakosa balance maana unamuona mtu na kumdondokea lakini yeye hakufeel kabisa
 
Ntarudi tena kwenye darasa la mapenzi aisee,

Kwahiyo unataka kuniambia hawa watu wanaooa wake wawili, kuna mmoja anakuwa anapendwa zaidi ya mwingine?

Shem who told you that those men love there wives the same?? If indeed the love is intense.... The best i can say ndo narudi kwenye post ile niloeleza having feelings for two people at the same time...
 
Okay dada,lets see whats happen next!
 
yaani unaweza kufall kwa mtu badae unakuja kushangaa hv ulimpendea nini maana unakuta hata umfurahii kiviile ulivotegemea

Ewaaaa, hasa ukiingia sometimes kwenye mechi huenda ikawa ndio mwisho wa uhusiano, sijui ni nini, ila mwingine hujampenda kivileee externally ila mkianza uhusiano nakwambia MOTOOOO unawaka like California bush fire, hii kitu bana inatukimbizaaa saana, mie mtumwa wa mapenzi i declared already....
 
Yaani Prezidaa naona tupo wooote pamoja kabisa, hapo juu si masihara aisee.....lol

Unakuta mtu anakwambia unampendea nini yule, yaani unamwangaliaaa, unakosa jibu maana that time anaongea kwa mdomo & meanwhile unaongea kwa moyo when in love, jibu ni basiiii tu nampendaaa
 
"I am in LOVE and Thank God that in whatever I do i always remember her''
 
Unakuta mtu anakwambia unampendea nini yule, yaani unamwangaliaaa, unakosa jibu maana that time anaongea kwa mdomo & meanwhile unaongea kwa moyo when in love, jibu ni basiiii tu nampendaaa

Yaani wee President naona ni mhanga Perfect kabisa.... Akija tu hapo kama mjinga vile wajikuta unatabasamu (tena wajishtukia na kurudi hali ya kawaida) you feel like sijui umbebe, tena mtu akimsema vibaya hata kama rafiki yako wa siku zoote waweza vunja urafiki....lol
 
"I am in LOVE and Thank God that whatever I do always i remember her''

Snowball I am so glad to hear that and soooo proud of you.... Lucky her!!

Care to mention vitu nimesahau kutaja??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom