Khaaaa!!! Mpwa bora jamaa hata hatukuonana maana ningezidiwa baada ya kuonana nae....
Eeeehhh Kaka mkeo akisikia, sijui utakuwa ni moto wa kifuu! Badilisha kauli kabla hujazua varangati.
Habari yako binafsi hii avatar iondoe mapema inaudhi kha??!! Rudisha ile ya zamani aisee
Mapenzi na shem wangu hayahusiani na kitanda wala uzimaji wa taa......... ushawahi kuwa na mashaka na AshaDii?kwa nini unanipigisha mapigo ya moyo kiasi hiki yaani nimetoka kidogo tu umebadilika hivi mpenzi wangu?? halafu tabia gani hiyo kupenda mashem zako......"kilio"
Eeeehhh Kaka mkeo akisikia, sijui utakuwa ni moto wa kifuu! Badilisha kauli kabla hujazua varangati.
Cmon shem....... nilipona? kwamba nilikufa na kuna mtu anatumia ID yangu au? Sikufa bana ila cha moto nlikiona. Nikajikuta badala ya kumuuguza mai darling wife wangu, yeye ndo akawa ananiuguza!! Kibega kiligeukia upande wa pili kulaaaleki...
Usiogope bana.... Ninae tayari ninaempenda.....lol.. I just like the sound of your brother...
Bora umesema wewe mimi nimemwambia akang'oe hayo meno, meno utafikiri makaa ya mawe ya mgodi wa Kiwira...lolHabari yako binafsi hii avatar iondoe mapema inaudhi kha??!! Rudisha ile ya zamani aisee
Niko fresh naendelea kupiga biceps Gym kama kawaVp unaendelea fresh au ulizidisha mapenzi kwa shemeji ukaugua?
C'mon Kongosho... Tell me how you feel ukimuona The Boss.... lol
Haaahhhhhahaaaaaaaaa kulaaaleki shem ndo nini kunichekesha mbele ya mkoloni mida hii? Hilo swali muulize soulmate wangu tafazaliShem sababu nimekuona najua hauna kilema, but kuna parts ambazo siruhusiwi kuziona na ndo nauliza.... lol
pole sana, sasa uko nae au?Niliwahi kuwa katika hali kama hiyo nambaya zaidi nilikujakutoa uamzi wa ghafla bila kuzingatia kitakachojili baada ya wiki2 kugundua nipo peke yangu ikawa ngumu wiki ya 3 ikawa nikiona simu yake roho inadunda,nikikutana naye,moyo unalipuka lipu,Usiku nikawa silali namuwaza yeye ila nikamwita nikamwambia yaliyopo moyoni yanayonitesa nanikamwambia uamzi niliouchukua unanitesa lakini sina budi kwani ulichonifanyia sirudi nyuma japo naumia nanimekuja kugundua kwamba nilikuwa nakupenda sana!!Lakini nikawa namuomba nikutanae naye tuongee kama marafiki akakubali kwakuwa nilipokuwa sifanyi hivyo nakesha kwenye pc sipati usingizi kabisa Mimi ni JF,Facebook,Baadae akaja kuomba msamaha kwa aliyoyafanya nakwakuwa ilikuwa siyo mara yake ya kwanza alijutia!!ila nikazoea na sasa moyo haudundi kama mwanzo nimetulia.Nasema i was victim!!!
Umeona eeeh?? Samora habari ya siku?? Naomba basi sema nawewe bana!
Usipime dada AshaDii, huwa mara nyingi najiona kama nina bahati ya kipekee sana kumpata huyu mama mtoto wangu, mwanzoni nilihisi nitamzoea lakini kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo nazidi kuoza, sijui kwa upande wake lakini nahisi nayeye ananipenda kwasababu najua anajua ninampenda sana na kwa kunionea huruma hajawahi kuitumia vibaya hii hali yangu kuninyanyasa kimapenzi, Mungu atusaidie kwasababu baadhi ya ndugu zangu wameanza kusema kaniwekea dawa ili nimpende sana, na kama ni kweli basi hiyo dawa nayo nimeipenda.Ezan I LOVE this post!! Bravo..... Mwenyezi Mungu akujalie uendelee hivo hivo na hayo Mapenzi yawe kweli reciprocated.
Natamani nikuelewe wallah!!All I can say is " I HATE U" Sio lazima useme when you win, sometimes just SHUT UP
All I can say is " I HATE U" Sio lazima useme when you win, sometimes just SHUT UP