AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,189
- 18,114
- Thread starter
- #321
kwanza kwa my darling wife
pili kwa rafiki yake wife (huyu alinitosa akaenda nje ya nchi, wife akiwa rafiki yake akanionea huruma na akawa akinifariji sana......... Huruma ikageuka kuwa penzi zito hatimaye ndoa)
tatu kuna mdada mmoja hivi tulikutana kimaajabu tu, tukacheat mara moja na tangu hapo moyo wangu umemdondokea. Anaiheshimu sana ndoa yangu na hayuko tayari kucheat tena. Ila dah!
Nne haka kabinti ka kazini nakokusimulia (sithubutu kukatongoza, kakinikatalia ntakufa lol
tano soulmate gaga via keyboard
sita............khaaa! kamatesha kangu...... Kananisisimua sana bana!
what!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!