Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Sure, I miss the girl. Alikuwa Star MMU hapa. Enzi za kina Carmel na infidelity..........

Acha tu hommie angekuwepo leo ningemwaga amambo ya "in love" mpaka AshaDii apende
Ila am still searching



Smiles nimewahi kutanishwa nae kwenye thread moja pale lounge a.k.a Chit Chat, BUT i liked her on spot (thou siamini bado maelezo ya Kaizer ya mahusiano yao ya kale...lol) I wish arudi hapa tena.... Guys do something...
 
Ku fall in Love hakuna kikomo kabisa.... As long as you have Loved and Broken hearted, you are allowed to love again.... and again... and again....

Mh!Labda moyo wa jiwe si wa nyama!
 
wivu tu huo wewe obama si unamichelle wako....huko kwingine tuachie wenyewe si unaona tunavopagawa

Kweli hommie, wivu na mapenzi ni mama na mwana, upo utamuni mwaya ukimaliza, tutaongea vizuri, si utani, alamba alamba.... alaji alajii... ooohhhooo..
 
na vile vibridi ikifika jioni, acha mchezo kabisa, fallin in love sio kitu cha mchezo...na mungu alivo mjanja unapewa hiyo hali mara moja tu maishani, love zingine zinazofata zinakuwa hazifikii ile ya kwanza japo nazo zinakuwa strong sana
gaga umeona eeeh? Haiwi the same bwana ile ya kwanza inahit zaidi mavibration mitikisiko hata kama muhusika hamfukii wa pili yake but wa kwanza bwana moyo unadunda . Maybe ni kwa sababu ni mara ya kwanza kuitroduce mindi kwenye ulimwengu wa mapenzi nini?
 
Ku fall in Love hakuna kikomo kabisa.... As long as you have Loved and Broken hearted, you are allowed to love again.... and again... and again....
If you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenzi
 
smiles nimewahi kutanishwa nae kwenye thread moja pale lounge a.k.a chit chat, but i liked her on spot (thou siamini bado maelezo ya kaizer ya mahusiano yao ya kale...lol) i wish arudi hapa tena.... Guys do something...
here i am sis loh?
 
AshaDii my Darling Shem..........

Naomba nikuulize ka swali ka kizushi:

Unaweza kuwa in love na mtu zaidi ya mmoja?..........Inakuwaje inapotokea hizi feelings unazifeel kwa zaidi ya mtu mmoja?


ODM My Darling shem....

Kupenda mtu zaidi ya mmoja (na woote ukawa na mahusiano nao) kwa wakati mmoja yawezekana....
kua na mapenzi ya dhati kwa zaidi ya mtu mmoja, IMO naona hapana... haiwezekani...
Hivo basi kwa mkatadha huo i understand kabisa hali ya kua na feelings zaidi ya mtu mmoja.
 
if you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenzi
kweli atadanganya ashadii kamaliza la saba kawekwa ndani huyo shem kaizer huyu naskia kaanza form one akiwa kwake form 3 akastop ujauzito loh
 
If you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenzi

Hivi love experience how do we define it? Me nachojua upande mmoja like honey yakigeuka kama shubiri au kuna ziada, ni lazina uwe broken hearted?
 
Hivi love experience how do we define it? Me nachojua upande mmoja like honey yakigeuka kama shubiri au kuna ziada, ni lazina uwe broken hearted?
Ni vizuri kupata experience ya the other side of the coin ili ujue upande wa pili wa moyo wako huwa unakuaje vinginevyo hautoweza kutoa experience nzuri
 
Mh!Labda moyo wa jiwe si wa nyama!

Eiyer Roho ilopewa na Mungu majaliwa ya kupenda... Huumizwa na hupenda tena, sababu for the simple reason roho ni nyama sio jiwe hivo maamuzi ya hio roho ifanye nini hayapo mikononi mwako asmuchas ni yako...

If you have never experienced hapo kwenye red sidhani kama unaweza kuwa na experince nzuri ya mapenzi



EXACTLY PA.... Naomba Msikilize Beyonce kwenye hii "Broken Hearted" (I Lurve this song... love it!!)


 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri kupata experience ya the other side of the coin ili ujue upande wa pili wa moyo wako huwa unakuaje vinginevyo hautoweza kutoa experience nzuri

Thanx, leo asubuhi nimemwona mbwa jike akiwa ktk heat period, madume zaidi ya 9 yanamfuata, haya mapenzi, hayana definition complete, best def mapenzi = life, yaaani
 
eiyer roho ilopewa na mungu majaliwa ya kupenda... Huumizwa na hupenda tena, sababu for the simple reason roho ni nyama sio jiwe hivo maamuzi ya hio roho ifanye nini hayapo mikononi mwako asmuchas ni yako...





Exactly pa.... Naomba msikilize beyonce kwenye hii "broken hearted" (i lurve this song... Love it!!)


kwaiyo hii thread imetugeukia sisi wahanga wa broken heart jamani?
 
Last edited by a moderator:
here i am sis loh?



Sis I love you wajua kabisa.... BUT Smiles I like, ana a unique quality fulani hiv ambayo inakufanya uwe comfy kua around her, no she is kind of innocent naughty where as wewe ni naive naughty so i need you both dear....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom