Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Dah!! “I think I am in LOVE…..” TGI-Eid!!!

Nadhani ume-hit the point... I feel to devote all I have to them, lakini nashindwa kupata logic na kuamini hiyo ni Love, kwa sababu nimewafanya wao kuwa sehemu ya mwili wangu kwa furaha na machungu.. Ndio maana siogopi kuonyesha stress zangu kwao, siogopi kufanya kile nataka .. Kwani nahisi naamini kwa kuwapa maisha yangu ni zawadi zaidi ya Mapenzi .. Ndiyo maana kwenye ile topic hapo zamani nilisema naamini hakuna Mapenzi ..



Dude you are killing me jamani.... I feel for you and i wish ningekua nakufahamu, maybe ningekupata.....
 
Kwa Gaga, acha tu anipe hata za mchina. Mi ndo nshapenda hivyo!

Akikupa za mchina itakuwa balaa,unaweza kutoroka ofisini ili kwenda kunusa nguo yake ambayo haijafuliwa anapokua hayupo!
 
AshaDii my Darling Shem..........

Naomba nikuulize ka swali ka kizushi:

Unaweza kuwa in love na mtu zaidi ya mmoja?..........Inakuwaje inapotokea hizi feelings unazifeel kwa zaidi ya mtu mmoja?
 
yaani sweetness we acha tu,jana i was thinkin about it mpaka nikahisi homa. Muhusika nipo nae poa tu lakini am not happy coz nafeel what am getting from him is not enough.

Jamani Daughter maybe you are reading him all wrong.....

ha ha ha, ntakuPM, this is a major project haitaki papara.


hahahah.... Mie kwa project! Bring it on gal!!
 
hv unaweza kuwa umefall in love kiukweli mara ngapi jamani? Nahisi moyo nao unakuwa unafanya depreciation
yaani value ya kumfeel mtu kama ni mahusiano ya kwanza na wa pili au wa tatu inatofautiana
yaani kama kuna kushuka kwa value/thamani ya mapenzi ,au nipo wrong jamani?
"Love" differs from case to case may be understood as meaning merely that I like this thing or activity very much. In the implication is typically that I find engaging in a certain activity or being a certain kind of person to be a part of my identity and so what makes my life worth living; I might just as well say that I value these by contrast and seem to indicate the mode of concern that cannot be neatly assimilated to anything else

When you talk of value in love there is Love as valuing. Love as an appraisal of value and Love as Bestowal of value
 
Ishu ilikuwa Love is blind, lakini mwanamke anaanza kumpenda mwanaume baada ya kutongozwa kwa maana hiyo penzi sio kipofu bila kutongozwa na Fidel wewe Gaga usingenipenda au sio? Kwa hiyo maneno yangu matamu yamekufanya unipende.

Kweli, love is blind, marriage is an eye opener.
 
hv unaweza kuwa umefall in love kiukweli mara ngapi jamani? Nahisi moyo nao unakuwa unafanya depreciation
yaani value ya kumfeel mtu kama ni mahusiano ya kwanza na wa pili au wa tatu inatofautiana yaani kama kuna kushuka kwa value/thamani ya mapenzi ,au nipo wrong jamani?



Ku fall in Love hakuna kikomo kabisa.... As long as you have Loved and Broken hearted, you are allowed to love again.... and again... and again....
 
Akikupa za mchina itakuwa balaa,unaweza kutoroka ofisini ili kwenda kunusa nguo yake ambayo haijafuliwa anapokua hayupo!
ilimradi yanaongeza mahaba yeye hajali.......
 
ODM,hako ka swali uliko muuliza dada ni vigumu hiyo kutokea,moyo ni mmoja kwa mtu mmoja tu!
 
La aziz..wivu mpaka past tense?

Heee....MMU very hooot... haya mapenzi ni maneno ya asali asali tu au mwatendagA? mie natendaga & maneno matamu pia, watu wapo exciteeeeed.... !!! Waaachaaa, sijui kati kukoje, trying to imagine... hot hot hizi KOROSHO hizi.....
 
Yah!! Sometimes it does happen everyone has his/her own way of falling in love
na vile vibridi ikifika jioni, acha mchezo kabisa, fallin in love sio kitu cha mchezo...na Mungu alivo mjanja unapewa hiyo hali mara moja tu maishani, love zingine zinazofata zinakuwa hazifikii ile ya kwanza japo nazo zinakuwa strong sana
 
Heee....MMU very hooot... haya mapenzi ni maneno ya asali asali tu au mwatendagA? mie natendaga & maneno matamu pia, watu wapo exciteeeeed.... !!! Waaachaaa, sijui kati kukoje, trying to imagine... hot hot hizi KOROSHO hizi.....
wivu tu huo wewe obama si unamichelle wako....huko kwingine tuachie wenyewe si unaona tunavopagawa
 
Yah!! Sometimes it does happen everyone has his/her own way of falling in love

True, hata mm nili mwona BUBU aki fall in love, ilikuwa purukushani kama PAKA, maana... Mmhh asarfgg, hhwaa...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom