Tausi.
Senior Member
- Aug 29, 2011
- 123
- 48
Habari yako binafsi hii avatar iondoe mapema inaudhi kha??!! Rudisha ile ya zamani aisee
Hilo nalo neno, sio kwamba inaudhi tu, hata na kutisha:- Inaudhi+Inatisha=Huwezi kuitazama.
Habari yako binafsi hii avatar iondoe mapema inaudhi kha??!! Rudisha ile ya zamani aisee
Ntakutafuta nipo likizo kwa sasa!!Hamna mkuu nipo wewe ndio naona una mishemishe nyingi tu
afadhali sasa maana nilikwambia unilindie.. nimepumua...hivi ushawahi mpenda mtu mpaka ukisikia kimlio cha fb unajua kapost kitu, ukisikia cha bbm unajua katuma kitu au kabadilisha status, ukisikia cha twitter unafollow kama msukule, na kila saa kuangalia kwenye inbox then unaangalia unakuta labda baba au mama yako katuma msg unanunaje?? lol... mapenzi kweli yanarun duniaJamani Gaga rafiki yangu kipenzi... Sijaona hizo parts ndo maana nikauliza.....lol
Hahaha!! Wewe wewe aisee msalimie yule partner wako...lol... mwabie nikija lazima niondoke nae
Bahati nzuri Tausi mi bado sijaoa jana nilienda kufinya pilau kwa bro nikakuta house girl mpya nikamtamani. Kumbuka mimi sijawahi kupenda kamwe huwa natamani siku zote
do you allow me to be in love aunt? At this age? Lol!Haya ninong'oneze "are you in LOVE"??
Usipime dada AshaDii, huwa mara nyingi najiona kama nina bahati ya kipekee sana kumpata huyu mama mtoto wangu, mwanzoni nilihisi nitamzoea lakini kadri miaka inavyozidi kwenda ndivyo nazidi kuoza, sijui kwa upande wake lakini nahisi nayeye ananipenda kwasababu najua anajua ninampenda sana na kwa kunionea huruma hajawahi kuitumia vibaya hii hali yangu kuninyanyasa kimapenzi, Mungu atusaidie kwasababu baadhi ya ndugu zangu wameanza kusema kaniwekea dawa ili nimpende sana, na kama ni kweli basi hiyo dawa nayo nimeipenda.
Tabu niliyoipata kwakipindi cha miezi mine iliyopita nimimi namwenyezi mungu ndiyo tunajua,kwani nilikonda nilikuwa nikikaa kwenye kiti ofisini siwezi natoka natembea nje ili mraadi nikidhi haja lakini nikirudi home ndo kwanza hatanikiona picha ya mtu anayefanana naye rohoo inalipuka kwa uoga!!!Asikwambie mtu mimi najiona nimehitimu chuo cha mapenzi!!kasheshe zake nazijua naninaweza kutoa lecture kwa yeyote anayehitaji ushahuri kutoka kwangu!!Hii post imenitia majonzi.... Na watu wengi saana they lose they people they love kwa vitu vidogo dogo tena kwa uzembe kabisa.... Mapenzi YANAUMA na hayana dawa zaidi ya Time.... But najua niloongea hapa hakuna jipya for umepitia... BEST OF LUCK Umpate mwingine....
afadhali sasa maana nilikwambia unilindie.. nimepumua...hivi ushawahi mpenda mtu mpaka ukisikia kimlio cha fb unajua kapost kitu, ukisikia cha bbm unajua katuma kitu au kabadilisha status, ukisikia cha twitter unafollow kama msukule, na kila saa kuangalia kwenye inbox then unaangalia unakuta labda baba au mama yako katuma msg unanunaje?? lol... mapenzi kweli yanarun dunia
Dada sory,nina mtazamo tofauti,if uko hivyo hauko in love!Upo kwenye situation nyingine wataalam wa masuala ya utambuzi wanaweza kueleza haya kwa kina,ila in short hiyo ni kama aina ya kichaa nani tatizo,linahitaji tiba ya ushauri,nionavyo mimi wewe mwenyewe ndo unatakiwa uamue uwe na furaha ama la,mazingira au mtu asikuamulie!Njia nzuri ya kuwa na furaha ni kuwaza,kufikiri na kutenda katika hali chanya!Naweza kuwa tofauti na wengine wote but ndivyo ninavyoyatazama mambo hayo,if u don't agree with me,comvice me logicaly!And one more thing,kila mmoja atafute maana halisi ya upendo na ndipo utajua wengi tuna ukichaa eneo hili,but good news is,love has nothing to do with this matter!