upo right kabisaEwaaaa, hasa ukiingia sometimes kwenye mechi huenda ikawa ndio mwisho wa uhusiano, sijui ni nini, ila mwingine hujampenda kivileee externally ila mkianza uhusiano nakwambia MOTOOOO unawaka like California bush fire, hii kitu bana inatukimbizaaa saana, mie mtumwa wa mapenzi i declared already....
AshaDii..This is a wonderful thread.
I am not in love even tho I met this guy who is a game changer, caring, fun, smart and full of life.. I like spending time with him but I don't think we have a future!!...I only go with the flow!!
Yani nikimuona mapigo ya moyo yanaenda kasi..tuk tuk tuk tuk!!
Mammamia.... This post is INTENSE.... Na nimeipenda kwa sababu mbili...
- Hivo nimeelewa maelezo yako hapo juu kwenye purple .... KABISA!! It is crazy being in LOVE jamani .... Khaa!!
Kuna vitu vingi vinavyokuthibitishia mapema kama hiyo "love at first sight" ni mapenzi ya kweli kwa nyote au ni mhemuko wako tu, and this is healed by time. Mimi nafikiri inayokubalika ni ile inayoambatana na chemistry of love kwa pande zote, like a spear, a spark... macho yanakutana na sekunde hiyo hiyo mkuki unachoma moyoni na cheche zinalipuka.yap inawezekana ila tatizo hapo hayo mapenzi yanakosa balance maana unamuona mtu na kumdondokea lakini yeye hakufeel kabisa
ahahaaa loh mkuu ???????[/LIST]Kuna vitu vingi vinavyokuthibitishia mapema kama hiyo "love at first sight" ni mapenzi ya kweli kwa nyote au ni mhemuko wako tu, and this is healed by time. Mimi nafikiri inayokubalika ni ile inayoambatana na chemistry of love kwa pande zote, like a spear, a spark... macho yanakutana na sekunde hiyo hiyo mkuki unachoma moyoni na cheche zinalipuka.
OK nimekubali.... Swali lingine... Have you ever??
[/LIST]
Yote hii inathibitisha kuwa "love is not a coat-cut-to-fit all sizes". Kila mmoja ana definition yake inayomfaa yeye tu. Kuna mmoja alidefine true love ifuatavyo:
Waiting for some for some minutes...it's called NECESSITY.
Waiting for someone for hours...it's called CONFIDENCE.
Waiting for someone for days, weeks, months, years...it's called FRIENDSHIP, but...
Waiting for someone knowing that he/she will never come, that's called TRUE LOVE
Yap! That's how it happens.ahahaaa loh mkuu ???????
Belinda Jacob... The gal with them Lips.... Nimefurahije kukuona??
Nimefurahi mno kukutoa nyoka pangoni.... na nafurahi umetimiza
ahadi yako ya kuchungulia once in a while.... Well B2T...
Belinda funguka tu kama you are in LOVE bana....lol.. Hivi unafikiri yanaanza
vipi kama sio kwa roho kuenda ...tuk tuk tuk tuk?? Yaani hio no for nobody
else but him.... I Smell something.... lemme see... Flowers, chocolates, the scent...mmh! lol
Obviously.....ila ni utumwaaa looh!!! Maana maumivu ya kichwa huanza taratiiibu.....lol
Ashadii mim nahisi IM IN LOVE,ila kipengele namba tano niko tofauti nawe,mim hari ya kijituma imeongezeka maana najua muda si mrefu nitakuwa na watoto na ninataka wawe na future nzuri.Kitu kingine ni ambacho hujakitaja ,mim mwanzoni nilikua namuwaza sana hadi kula napuuzia hadi nikaloose weight kidogo.
Kuna baadhi ya watu humu wamelalamika kuwa "wanawapenda"watu flan hivi halafu wamaogopa kuwaambia,i just wanna tell u all,u make big mistake kwa kuacha kusema,tatizo mnajitabiria matokeo hasi,achaneni na mawazo hayo,take action,nenda kamwambie huenda nae anasubiri jambo hilo kwa ham!Usiogope kuchezea kibuti,ni bora kujaribu ukashindwa kuliko kuacha!Kumbuka suala hili sio kwa wanaume tu hata nyie dada zetu,usiangalie atakuonaje NENDA KAMWAMBIE!
Jamani eh!
Hapa ofisini kuna kabinti.......... Yaani nyie acheni tu.
kakiniangalia moyo unaongeza spidi ya mapigo, tukipeana mikono mwili wote unasisimka.... kakinipigia simu mikono yangu inatetemeka. Yaani jamani nyie acheni tu....
Siyo kazuri kiviiiiile lakini naushangaa sana moyo wangu.
Sijui ndo kupenda huku au kutamani? Saa nyingine huwa nashindwa kutofautisha kati ya kupenda na kutamani........... wallah tena!!
Mie pia nimefurahi sana kukusoma, you've very thoughful threads!!
Mamii, najaribu kufunguka huku naogopa..Yani, I want to feel complete when I am with or without him..si unajua tena, ukimkabidhi mtu moyo wotee inaweza kuwa maumivu tele..
I am so scared even to use the word ''Love'' around us..like, I love this and that...!
Likewise, I smell something but not so sure if it will work out!..
Nitaku-update my dear!..ha ha
Kwanza kwa my darling wifeODM weee kiboko!! Hivi you have feelings for how many people exactly?? Then tutarudi kwa hako kabinti.....