Jeiefu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 781
- 1,581
KaniudhiHahahah Mdomo huo
KaniudhiHahahah Mdomo huo
Aliolewa Irene uwayole yuko wapi kahaba wakubwa nyiei.Mbona wanaolewa kila siku.(Kumbuka kuna Wanaume wa huko.poa wanaoa wa huku.Au mpaka usikie..
Kuolewa wanaolewa na muda ukifika.
Pole mwambia siku si nyingi utapunguza kupenda slope/vizinga tutamalizia ile hatua iliyobakia eti mzigua wangu eeh..Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
Wanao danga ni wale wasio hitaji ndoa na ni wachache piaMnazoziona ni chache sana wanawake wengi sana wanadanga tunawaona
Tayari.Nawe kaolewe Burundi ili umnyamazishe
Siyo Mimi ....Mimi ni mke mwema kabisa atakaenioa hatojutia ila itabidi avumilie mdomo wangu maana nna gubu si kawaidaUkishapoteza mvuto wa makalio muda utakuwa umeisha
Inaonesha na wewe ni mdangaji mzuri tu. Kwa point zakoMnazoziona ni chache sana wanawake wengi sana wanadanga tunawaona
Mkuu kwa hiyo hapa Tanzania wanaume wao tu?Mbona watu wengi sana (nowadays) hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo (too selective)?
Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio muongeaji yupo kimya kupiga pesa, haya huyu wa AY nae hana hayo, tazama sasa Kiba nae kaenda kuoa Kenya.
Nasikitika sana kuwaona mnatumika tuu, miss Sepetu anadanga tuu, Penny nae alitumika, kina Shishi wanaishia kuforce vindoa visivyorasmi, haya kwa Ndikumana nadhani napo mnaona hali ilivyo, haya angalieni pia kwa Wolper hali hiyo hiyo tuu.
Nilitegemea muwe mfano kwa wanawake wote Tanzania na kuhamasishana sio kwa mwanamke star au wakawaida mgekuwa na Tabia njema.
Igeni basi hata kwa Zamaradi ni mwanamke anaejielewa sana pamoja na kuachika ktk ndoa yake ya awali still kasimama hadangi huku na huku kaolewa katulia anatafuta pesa tuu.
Kuna jambo naliwaza sana tatizo lenu sijui elimu kichwani ni shida au nini?
Uwongo mbaya wanawake wa Tanzania ni wazuri sana maumbo yao, muonekano kadhalika tabia baadhi ila kwanini hamuolewi?
Hebu mfano humu JF wa kina Demiss, Mzigua90 na wengine wengi angalia post zao then ufikirie ni aina gani ya wanawake tulio nao na tabia zao hapa Tz.
Nimalizie kwa kusema mbadilike kaka zenu tunaumia sana.
View attachment 749766
Suala la watu kutumia mitandao vile ambavyo haikupendezi wewe ipo kila nchi. Kama unaona hao ulotaja hawakufai wewe yupo anayeona anawafaa. Ndio maana shilole kaolewa, gigy ni mama nk. Dunia haizunguki kichwani mwako tu mkuu.Mkuu haijalishi imeanza mwaka gani, kwa sababu huko kwa sasa ndipo wanapofanya mambo yao na kujishebedua.
Mpaka watu wanawajumuisha na wadada wenye tabia nzuri pamoja kwenye mkumbo wao usiokuwa wa maadili.
Kuna msemo unasema samaki mmoja akioza wote watakuwa wameoza kitu ambacho sio kweli.
Kwa mfano Irene uwoya, wema, jokete, Nandy, Gigi money shilole hao wote tunajua mambo yao na ni kioo cha jamii wanajiita.
Sasa kwa mfano wema anajirekodi na kutuma makalio yake mtandaoni unategemea mie na akili zangu nikaoe?? Na anaetuma huko instergram.
Sasa hao wachache wasiharibu image ya wasichana wote au wanawake wote ukiwemo na wewe na hapo ndipo tunaposema ya kuwa sio ukweli kuwa wanawake watanzania hawaolewi lahashaa, Bali ni baadhi ya hao bongo movie.
Huh!! Kumbe umerudi!!Kwani kuolewa lazima? Unataka kuwapangia maisha?
Hahahaa!! Eti ana sura ya nini?Pamoja kaka kaoa Mombasa ila wifi ana sura ya "Sitaki Mazoea". Kwahiyo shurba za kikenya zitamuhusu
Hapana mie sio dada yako, we si umetaja dada zako pale!!! Mie simo.Unajua unatukosea Dada yangu
Sasa wewe mwanaume unaeshinda mitandaoni ndio utatufaa kweli!! Kutwa umbea kuangalia mwanaume mwenzio kaoa nani au kaoa wapi kweli!! Hebu badilika bwana, haipendezi kwa mtoto wa kiume unaetarajia kuwa mume na baba wa familia.[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mzigua90 % kubwa ya nyie Dada zetu tabia zenu sio ndio maana wanaume tunaoa nchi za jirani, mbadirike kifupi tabia ambazo hazipo kimaadili hata kidogo, hivi mwanamke kutwa mitandaoni, kutwa umbea tuu, kutwa kwenda kupiga pombe bar, kwenda club kweli maisha ya ndoa mtayaweza? Kutulia nyumbani kumpikia mumeo, kufua na usafi wa nyumba kadhalika kelea watoto? Mjitafakali Mara ×2
Hilo suala la kusema hata 50 unaoa hata mwanamke anaolewa akiwa na 70. Yaani na utimamu wako uoe ukiwa na 50 alafu ujione uko sawa ila umshangae mwanamke anaeolewa na 50 kweli!!!Kwa sababu wanaume hata miaka 50 anaoa ila mwanamke miaka 50 nani wakukuoa?
Duuuhhh vigezo vyako sasaMimi naoa aliye interested njoo pm..
Masharti:
1:usiwe na acc instagram.
2:uwe na churaaaa
3:uwe na at least div 3 ya form 4 (usije kunizalie li bashite maana akili za mtoto zinatoka kwa mama)
Mengine tutavumiliana..
Nakupendaje mzigua mamy sio kwa jiwe hiloSasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
Asante. Sasa unacheka au unalia hapo kwenye avatar?Huh!! Kumbe umerudi!!
Karibu tena.