Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Kwa mwanamke kuwa na tabia Mbaya na kujifananisha na mwanaume haijakaa poa kiafrica yani
We mbona wanaume wenzio wanaoa alafu unaumia wewe, ndio omekaa poa kiafrika hiyo?
 
Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe

Hahaha povuuu
 
Unaposema wadada wa Tanzania hawaolewi sijui umeangalia wadada wapi, probably watakua bongo movie na bongo fleva, hao kuolewa ni ngumu maana hawatafugika,ila akina sisi no body's ndoa kila lukicha, hao bongo movie wenu waacheni waanike makalio na papuchi mitandaoni umri bado unawasubiri
 
Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
We single maza umebahatika kuolewa?
 
Mbona watu wengi sana (nowadays) hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo (too selective)?

Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio muongeaji yupo kimya kupiga pesa, haya huyu wa AY nae hana hayo, tazama sasa Kiba nae kaenda kuoa Kenya.

Nasikitika sana kuwaona mnatumika tuu, miss Sepetu anadanga tuu, Penny nae alitumika, kina Shishi wanaishia kuforce vindoa visivyorasmi, haya kwa Ndikumana nadhani napo mnaona hali ilivyo, haya angalieni pia kwa Wolper hali hiyo hiyo tuu.

Nilitegemea muwe mfano kwa wanawake wote Tanzania na kuhamasishana sio kwa mwanamke star au wakawaida mgekuwa na Tabia njema.

Igeni basi hata kwa Zamaradi ni mwanamke anaejielewa sana pamoja na kuachika ktk ndoa yake ya awali still kasimama hadangi huku na huku kaolewa katulia anatafuta pesa tuu.

Kuna jambo naliwaza sana tatizo lenu sijui elimu kichwani ni shida au nini?

Uwongo mbaya wanawake wa Tanzania ni wazuri sana maumbo yao, muonekano kadhalika tabia baadhi ila kwanini hamuolewi?

Hebu mfano humu JF wa kina Demiss, Mzigua90 na wengine wengi angalia post zao then ufikirie ni aina gani ya wanawake tulio nao na tabia zao hapa Tz.

Nimalizie kwa kusema mbadilike kaka zenu tunaumia sana.
View attachment 749766
Wataolewa vipi wakati akipata mwaume anamfanya Kama etm mashine, anataka ahamishie shida za ukoo wao kwako zote.
 
Wataolewa vipi wakati akipata mwaume anamfanya Kama etm mashine, anataka ahamishie shida za ukoo wao kwako zote.
Ni sababu nyingine mwanaume huwa anaumizwa na wanawake hawajui tuu hakunaga kitu kinachukiza kama mwanamke mpenda pesa hapo ni shida kidogo
 
Your statement is too general. What are the statistics.. wangapi wameolewa na wangapi hawajaolewa?? tunahitaji more detailed research mkuu .sio data za kupikwa
 
Back
Top Bottom