Miss Madeko
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 4,440
- 5,738
Us
Useme wewe wangu maana nimeshangaa sana... by the way huyo alijiolea Mkenya ndio namwonea huruma tuu sema sababu ni upande wa Mombasa kidogo labda wako kama Wanzanzibar but mwanadada wa kikenya mmmmh.. Big No kwangu aisee
Simba kula mtu sio habari ila mtu kula Simba ni habari. Walishazoea dada zao ndo wanaolewa na foreigners sasa upepo umebadilika kidogo tu imeshakua habari. Kuna ile story ya kipofu kufunguliwa macho akaona mwezi basi kila kitu kwake yeye kinafanana na mwezi. Ndo hali waliyo nayo kaka zetu sasa hivi.