Mlima simba
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 3,847
- 7,014
Acha sisi tuwatumie tu afu kuoa Zimbambe
Hahahahahahaha, aisee kama hawajielewi inabidi iwe hivyo kwa wasio jielewa lakini msitutafsiri vibaya wadada kuna mnaojielewa 100%.
Acha sisi tuwatumie tu afu kuoa Zimbambe
Ingekuwa hivyo angeeleweka tu sasa yeye kajumisha wanawake wote kitu ambacho sio.





Hapo kaenda chaka sana mtoa Uzi sister, kweli apambane nao Uzi wake.Hahahaaaa. Nimecheka sana lol.
Pambana na uzi wako aisee sababu umekosea sana kuijumuisha jamii nzima.
Hahahaa. Mfano hai kabisa huu.Kweli kabisa maana hapa penyewe nilipo kuna manzi flani anaolewa![]()
Mmh. 100% lol.Hahahahahahaha, aisee kama hawajielewi inabidi iwe hivyo kwa wasio jielewa lakini msitutafsiri vibaya wadada kuna mnaojielewa 100%.
Waache waendelee kupost makalio huko instaMbona watu wengi sana nowadays hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo too selective? Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio muongeaji yupo kimya kupiga pesa, haya huyu wa AY nae hana hayo, tazama sasa Kiba nae kaenda kuoa Kenya. Nasikitika sana kuwaona mnatumika tuu, miss Sepetu anadanga tuu, Penny nae alitumika, kina Shishi wanaishia kuforce vindoa visivyorasmi, haya kwa ndikumana nadhani napo mnaona hali ilivyo, haya angalieni pia kwa Wolper hali hiyo hiyo tuu. Nilitegemea muwe mfano kwa wanawake wotee Tanzania na kuhamasishana sio kwa mwanamke star au wakawaida mgekuwa na Tabia njema. Igeni basi hata kwa Zamaradi ni mwanamke anaejielewa sana pamoja na kuachika ktk ndoa yake ya awali still kasimama hadangi huku na huku kaolewa katulia anatafuta pesa tuu.
Kuna jambo naliwaza sana tatizo lenu sijui ELIMU kichwani ni shida au nini? Uwongo Mbaya wanawake wa Tanzania ni wazuri sana maumbo yao, muonekano kadhalika Tabia baadhi ila kwa nini hamuolewi? Hebu mfano humu jf wa kina Demiss, Mzigua90, na wengine wengi angalia post zao then ufikirie ni aina gani ya wanawake tulio nao na tabia zao hapa Tz. Nimalizie kwa kusema Mbadirike kaka zenu tunaumia sana.View attachment 749766
Unasahau kwamba humu tunthubutu kuongea wazi hem leta mafunzu hayo acha uvivuwanataka waolewe na wenye degree.......lkn nashangaa hao vijana wa degree wako wengi tu mtaani nao hao hawataki kuwaoa hawa wadada....hahahahahaaaaaa.
Kuna kastori natamani niwasimulie kuhusu hii inshu wadada kutokuelewa ....hahahahaaaa ni true story
Thubutuuuu Hahahahahahahaha, afadhari umelijua hilo kuwa hakuna wa 100%Mmh. 100% lol.
Hahahaa. Nashangaa amekusakzia kaka yangu.
Aje apambane nao. Teh
Hahahaaa. Mie niliona ni dalili za kuogopa tusikusulubu na takwimu zako. Lol.Thubutuuuu Hahahahahahahaha, afadhari umelijua hilo kuwa hakuna wa 100%
Hahahaaaa. Aje tu kwa kweli.Naona anachungulia nondo anazopigwa humu halafu anarudisha Shingo nje hahahahahaha
Hahahaaa. Mie niliona ni dalili za kuogopa tusikusulubu na takwimu zako. Lol.
Nimeelewa ndio sababu nikajikuta naguna Kaka.
Hahahaaa. Nimeona kabisa.Hahahaha, muda mwingine ukiwa unang'ata na kupuliza lazima kujiongeza unaweka na kipengere kitakachokulinda.

88% ya dada zetu wadangaji
Hahah!!Hahahaha aisee