Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Revola

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
1,542
Reaction score
1,365
Mbona watu wengi sana (nowadays) hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo (too selective)?

Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio muongeaji yupo kimya kupiga pesa, haya huyu wa AY nae hana hayo, tazama sasa Kiba nae kaenda kuoa Kenya.

Nasikitika sana kuwaona mnatumika tuu, miss Sepetu anadanga tuu, Penny nae alitumika, kina Shishi wanaishia kuforce vindoa visivyorasmi, haya kwa Ndikumana nadhani napo mnaona hali ilivyo, haya angalieni pia kwa Wolper hali hiyo hiyo tuu.

Nilitegemea muwe mfano kwa wanawake wote Tanzania na kuhamasishana sio kwa mwanamke star au wakawaida mgekuwa na Tabia njema.

Igeni basi hata kwa Zamaradi ni mwanamke anaejielewa sana pamoja na kuachika ktk ndoa yake ya awali still kasimama hadangi huku na huku kaolewa katulia anatafuta pesa tuu.

Kuna jambo naliwaza sana tatizo lenu sijui elimu kichwani ni shida au nini?

Uwongo mbaya wanawake wa Tanzania ni wazuri sana maumbo yao, muonekano kadhalika tabia baadhi ila kwanini hamuolewi?

Hebu mfano humu JF wa kina Demiss, Mzigua90 na wengine wengi angalia post zao then ufikirie ni aina gani ya wanawake tulio nao na tabia zao hapa Tz.

Nimalizie kwa kusema mbadilike kaka zenu tunaumia sana.
IMG-20180417-WA0015.jpg
 
Mimi naoa aliye interested njoo pm..

Masharti:
1:usiwe na acc instagram.
2:uwe na churaaaa
3:uwe na at least div 3 ya form 4 (usije kunizalie li bashite maana akili za mtoto zinatoka kwa mama)

Mengine tutavumiliana..
 
wanataka waolewe na wenye degree.......lkn nashangaa hao vijana wa degree wako wengi tu mtaani nao hao hawataki kuwaoa hawa wadada....hahahahahaaaaaa.

Kuna kastori natamani niwasimulie kuhusu hii inshu wadada kutokuelewa ....hahahahaaaa ni true story
 
Mbona watu wengi sana nowadays hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo too selective? Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio muongeaji yupo kimya kupiga pesa, haya huyu wa AY nae hana hayo, tazama sasa Kiba nae kaenda kuoa Kenya. Nasikitika sana kuwaona mnatumika tuu, miss Sepetu anadanga tuu, Penny nae alitumika, kina Shishi wanaishia kuforce vindoa visivyorasmi, haya kwa ndikumana nadhani napo mnaona hali ilivyo, haya angalieni pia kwa Wolper hali hiyo hiyo tuu. Nilitegemea muwe mfano kwa wanawake wotee Tanzania na kuhamasishana sio kwa mwanamke star au wakawaida mgekuwa na Tabia njema. Igeni basi hata kwa Zamaradi ni mwanamke anaejielewa sana pamoja na kuachika ktk ndoa yake ya awali still kasimama hadangi huku na huku kaolewa katulia anatafuta pesa tuu.
Kuna jambo naliwaza sana tatizo lenu sijui ELIMU kichwani ni shida au nini? Uwongo Mbaya wanawake wa Tanzania ni wazuri sana maumbo yao, muonekano kadhalika Tabia baadhi ila kwa nini hamuolewi? Hebu mfano humu jf wa kina Demiss, Mzigua90, na wengine wengi angalia post zao then ufikirie ni aina gani ya wanawake tulio nao na tabia zao hapa Tz. Nimalizie kwa kusema Mbadirike kaka zenu tunaumia sana.View attachment 749766

Wewe mwenyewe unahitaji saana kubadilika !!!! Yaaani unakawanya wadada wa kitanzania kwa kupitia celebrities ??? Tumia mifano ya watu wenye maisha halisia ,achana na wa mitandaoni.....
Nadhani ndo utaeleweka
 
Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
 
Sasa wewe unadhani mimi na akili yangu nikamuoe Nandy?

Mkuu huku mtaani ndoa zinafungwa sana tu na wadada wanaolewa kwa wingi tu.

Tatizo hao wanaojiita kioo cha jamii wanajirahisisha sana, wanatumia umaarufu wao vibaya.

Muda mwingine tofauti ya wema labda na wale wadada wa pale KIMBOKA, UWANJA WA FISI, KWA WA HAYA na kwingineko tofauti huwa ni bei tu na mazingira.
 
wanataka waolewe na wenye degree.......lkn nashangaa hao vijana wa degree wako wengi tu mtaani nao hao hawataki kuwaoa hawa wadada....hahahahahaaaaaa.

Kuna kastori natamani niwasimulie kuhusu hii inshu wadada kutokuelewa ....hahahahaaaa ni true story
kalete hako kamtory mkuu
 
Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe

Kuolewa watu wanaolewa sana tu, sema mada haikutakiwa iwe kwa nini wanawake watanzania hawaolewi?? Ilitakiwa aseme kwa nini hawa bongo movie hawaolewi na wabongo flavor?

Kwa sababu ndoa kila leo zipo huku mtaani zinafungwa, kwa hiyo ukisema wanawake watanzania kwa nini hawaolewi inaleta utata kidogo.
 
Lakini ujue wanawake wapo wengi kushinda wanaume
 
Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
Na suala la kutokuolewa kwa wanawake kunawasumbua wanaume kuliko hata wanawake wenyewe.
 
Kuolewa watu wanaolewa sana tu, sema mada haikutakiwa iwe kwa nini wanawake watanzania hawaolewi?? Ilitakiwa aseme kwa nini hawa bongo movie hawaolewi na wabongo flavor?

Kwa sababu ndoa kila leo zipo huku mtaani zinafungwa, kwa hiyo ukisema wanawake watanzania kwa nini hawaolewi inaleta utata kidogo.
Tumuulize kwanza na yeye kaoa nchi gani?
 
Back
Top Bottom