Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,542
- 1,365
- Thread starter
- #81
Sio kwa wanawake watanzania woteKuolewa watu wanaolewa sana tu, sema mada haikutakiwa iwe kwa nini wanawake watanzania hawaolewi?? Ilitakiwa aseme kwa nini hawa bongo movie hawaolewi na wabongo flavor?
Kwa sababu ndoa kila leo zipo huku mtaani zinafungwa, kwa hiyo ukisema wanawake watanzania kwa nini hawaolewi inaleta utata kidogo.