Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Umasikini wa kufikiri ni mbaya kuliko wa kiuchumi. Kwa hiyo wewe muanzisha uzi kusikia celebs wameoa nje ya nchi ndo ijumuishe watanzania wote? Poor you
 
Sasa unataka kila anaeoa aweke mabango? Halafu unanipenda eeh. Naona umeniweka mfano wa wanawake wa Tanzania kwanini hawaolewi.
Na nyie kaka zetu mjiulize kwanini dada zenu wanaolewa nje na sio kuolewa na nyie. Hii ni two way traffic msijisahaulishe
Nitafute binamu....
 
wanataka waolewe na wenye degree.......lkn nashangaa hao vijana wa degree wako wengi tu mtaani nao hao hawataki kuwaoa hawa wadada....hahahahahaaaaaa.

Kuna kastori natamani niwasimulie kuhusu hii inshu wadada kutokuelewa ....hahahahaaaa ni true story
Tupe mkuu ucsahau kuntag....
 
Wasanii wasiozidi wa5 ndo watu wengi?.

Tanzania tuko millioni 50+ unaposema wengi walau ianzie million 5 ndo naona ni wengi
 
Ni kweli ila kwahiyo akisema hatuolewi wote ajue haiwezekani wote tuolewe wengine inatosha kuwa nyumba ndogo za watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16] usiwe nyumba ndogo bana
 
wanataka waolewe na wenye degree.......lkn nashangaa hao vijana wa degree wako wengi tu mtaani nao hao hawataki kuwaoa hawa wadada....hahahahahaaaaaa.

Kuna kastori natamani niwasimulie kuhusu hii inshu wadada kutokuelewa ....hahahahaaaa ni true story
Let hiyo story
 
Yaani wewe ukiangalia instagram ndo unatathmini maisha ya kibongo? Umezungumzia celebrities tu, wadada wasio maarufu wanaolewa kila kukicha.
 
Kwahiyo hawa wasukuma tulio waoa sisi sio dada zako wa Kitanzania? Au dada zako unamanisha ni akina Wema, Kajala, Joketi na Nandy?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa wema ni dada yake.
 
Wanawake celebrities kwenye suala la kuolewa ni shida, na sio Tanzania tu ni dunia nzima, ndoa zao walio wengi ni shida shida tu. Ila ukija kwenye wanawake ambao si maarufu mbona wanaolewa sana tu mkuu. Au ni Kwamba sababu macelebrities wa kiume wa bongo wameoa nje ya Tanzania? Bado mi naamini Tanzania tuna wanawake wazuri sana trust me. Tatizo la macelebrities wengi maisha yao yametawaliwa na kumake headlines, hamna kingine.
 
Nahisi sample uliyotumia haiwakilishi wadada wa kitanzania so lazma upate majbu potofu....
 
Mbona watu wengi sana (nowadays) hawaoi hapa kwetu wanaenda nchi zingine? Mnashida gani hebu tuambieni sisi wanaume then naona kwa binafsi yangu kama mpo (too selective)?

Wengi mnatukana sana matusi Instagram, ushabiki kwa udaku udaku tuu, hakuna tabia kama ya wanawake kama Zari mfano sio muongeaji yupo kimya kupiga pesa, haya huyu wa AY nae hana hayo, tazama sasa Kiba nae kaenda kuoa Kenya.

Nasikitika sana kuwaona mnatumika tuu, miss Sepetu anadanga tuu, Penny nae alitumika, kina Shishi wanaishia kuforce vindoa visivyorasmi, haya kwa Ndikumana nadhani napo mnaona hali ilivyo, haya angalieni pia kwa Wolper hali hiyo hiyo tuu.

Nilitegemea muwe mfano kwa wanawake wote Tanzania na kuhamasishana sio kwa mwanamke star au wakawaida mgekuwa na Tabia njema.

Igeni basi hata kwa Zamaradi ni mwanamke anaejielewa sana pamoja na kuachika ktk ndoa yake ya awali still kasimama hadangi huku na huku kaolewa katulia anatafuta pesa tuu.

Kuna jambo naliwaza sana tatizo lenu sijui elimu kichwani ni shida au nini?

Uwongo mbaya wanawake wa Tanzania ni wazuri sana maumbo yao, muonekano kadhalika tabia baadhi ila kwanini hamuolewi?

Hebu mfano humu JF wa kina Demiss, Mzigua90 na wengine wengi angalia post zao then ufikirie ni aina gani ya wanawake tulio nao na tabia zao hapa Tz.

Nimalizie kwa kusema mbadilike kaka zenu tunaumia sana.
View attachment 749766
Bora hata hao wanaonesha tabia zao waziwazi wanakusaidia kwenda kuoa uganda, kuliko wale wanaoficha tabia zao ksiha unaoa halafu wanakufrustrate....
 
Kuolewa ni nini? Hatutaki kuwa vifungoni maana ndoa ni kifungo alafu ukiolewa haufi au hautaoza siku ukifa? Tupo busy tunatafuta pesa zetu wenyewe.
 
Back
Top Bottom