Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Dada zetu Tanzania mbona hamuolewi?

Wacha kututoa kwenye reli sie bwana, ngoja kwanza ACT wamalize kuongea halafu nikujibu, lkn una uhakika wadada hawaolewi?Mbona jumamosi panakuwaga na harusi nyingi hivyo mtaani ama ni wanaume kwa wanaume wanaoana?Sema hivi hao bongo muvi kwann hawaolewa na mabwana zao wanaogiza nao au kuimba nao, tuwache sie
 
Mimi naoa aliye interested njoo pm..

Masharti:
1:usiwe na acc instagram.
2:uwe na churaaaa
3:uwe na at least div 3 ya form 4 (usije kunizalie li bashite maana akili za mtoto zinatoka kwa mama)

Mengine tutavumiliana..
[emoji57]
 
Wacha kututoa kwenye reli sie bwana, ngoja kwanza ACT wamalize kuongea halafu nikujibu, lkn una uhakika wadada hawaolewi?Mbona jumamosi panakuwaga na harusi nyingi hivyo mtaani ama ni wanaume kwa wanaume wanaoana?Sema hivi hao bongo muvi kwann hawaolewa na mabwana zao wanaogiza nao au kuimba nao, tuwache sie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Labda mtaani kwao haoni hizo shamra shamra za ndoa
 
Watanzania acheni unafiki wameoa hao mnaanza bango.. ina maana hao dada zenu wanaolewa nje ya nchi hamuwaoni mmeona hao wanaume wawatatu walioa jirani shame on you.

Kwanini hamuoni hao wote wanaolewa na wazungu, kenya uganda na nchi za mbali? acheni unafiki kabisa mbona mimi nimeolewa na foreigner na naona kawaida tuu
 
Miss Madeko
Simba kula mtu sio habari ila mtu kula Simba ni habari. Walishazoea dada zao ndo wanaolewa na foreigners sasa upepo umebadilika kidogo tu imeshakua habari. Kuna ile story ya kipofu kufunguliwa macho akaona mwezi basi kila kitu kwake yeye kinafanana na mwezi. Ndo hali waliyo nayo kaka zetu sasa hivi.
 
Hayo Maisha yanawapotezea muda sana mkuu, mpaka sasa wengine wanazeeka, wanazeekea instergram.
Hivi hiyo instergram imeanza lini hadi mtu azeekee huko? Na ni wanawake tu ndio wanaopost upuuzi mitandaoni? Hadi ukawafollow na kugundua wanapost upuuzi mitandaoni na unaendelea kuwafollow wewe inakuweka ktk nafasi ipi?

Acheni kukuz mambo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanatusaidia kuhuzunika dada zao
Hahahaaa!! Wawe tu makini maana wenzao walisikitika wakaishia kuolewa wao. Au hawawaoni kina James delicious.
 
Hivi hiyo instergram imeanza lini hadi mtu azeekee huko? Na ni wanawake tu ndio wanaopost upuuzi mitandaoni? Hadi ukawafollow na kugundua wanapost upuuzi mitandaoni na unaendelea kuwafollow wewe inakuweka ktk nafasi ipi?

Acheni kukuz mambo.
Mkuu haijalishi imeanza mwaka gani, kwa sababu huko kwa sasa ndipo wanapofanya mambo yao na kujishebedua.

Mpaka watu wanawajumuisha na wadada wenye tabia nzuri pamoja kwenye mkumbo wao usiokuwa wa maadili.

Kuna msemo unasema samaki mmoja akioza wote watakuwa wameoza kitu ambacho sio kweli.

Kwa mfano Irene uwoya, wema, jokete, Nandy, Gigi money shilole hao wote tunajua mambo yao na ni kioo cha jamii wanajiita.

Sasa kwa mfano wema anajirekodi na kutuma makalio yake mtandaoni unategemea mie na akili zangu nikaoe?? Na anaetuma huko instergram.

Sasa hao wachache wasiharibu image ya wasichana wote au wanawake wote ukiwemo na wewe na hapo ndipo tunaposema ya kuwa sio ukweli kuwa wanawake watanzania hawaolewi lahashaa, Bali ni baadhi ya hao bongo movie.
 
Back
Top Bottom