Asante sana Lokissa kwa kunikumbuka, ni kweli nimekuwa siingii JF kwa muda sasa kutokana na majukumu kunizidi na pia mgao wa umeme. Ila namshukuru Mungu naendelea vizuri na ni mzima. Ninawakosa sana wana JF na JF kwa ujumla. mambo yakitulia nitarudi kama mwanzo na tutazidi kushiriki hoja na mijadala mbalimbali hapa.
Mungu Awabariki, Tuko Pamoja.
U r welcome honey!Asante kwa kuniruhusu leo dear. Najisikia raha sana....LOL
Huyo hapo red ni member wa JF?Nna hakika karanga bado hazijaisha, hapa utakuwa umeazima laptop ya either The Finest or Asprin...
no son of mine is a heart breaker husn..... mje nyumbani kesho kwa chakula cha mwili usiku. afu mmeshinda lottery mie naskia kwenye media,mtakuta list ya matatizo yetu ila mkija na ka ford ranger station wagon tutaanzia hapo
(afu husn hela za mwanangu utamaliza kwa kusaidia mashostito!)
, Ni kweli,punde tu nitarudi kama kawaida.
Hivi salanga wa mkulanga kapotelea wapi? Dah!mkwe naomba niendelee kumsaidia saidia klorokwini maana tunaweza tusimuone jf kabisa.
.
Hivi salanga wa mkulanga kapotelea wapi? Dah!
Husninyo bana!
heheeh hela ya mavuno ya korosho ya salanga yote kwishney!Heheheheee! Nasikia Husninyo kamfilisi duka hadi amekosa hata hela ya bundle!
heheeh hela ya mavuno ya korosho ya salanga yote kwishney!
inasemekana Salanga kahama mji bila nguo za ndani (haijathibitishwa rasmi)
Heheheheee! Nasikia Husninyo kamfilisi duka hadi amekosa hata hela ya bundle!
mkwe naomba niendelee kumsaidia saidia klorokwini maana tunaweza tusimuone jf kabisa.
.
hahahahaha mkwe ndio maana nakupenda. Lol!
Ila stp son wako tangu ashinde bado anatengeneza heshima bar. Ngoja nikuandalie fungu la shida ndogo ndogo. Lol.
Tehe, tehee! Umfowadie pia na za wale uliokuwa unawatongoza!.. Haki sawa!U r welcome honey!
Halaf acha nikuforwadie vile viPM vya wale waliokuwa wanajitongozesha kwangu kile kipindi wewe haupo.
Hahahaha! King'asti miye simo!..lol..unamaanisha wakati mwingine misaada ni mizuri eeh?... Ukinionea kloro mwambie ancheki nimpeleke akachague suti,..malipo juu yangu!muache ajidai banaa, unajua bila hela za msaada rais wako angevaa masulupwete?
(afu husn hela za mwanangu utamaliza kwa kusaidia mashostito!)
Hahahaha! King'asti miye simo!..lol..unamaanisha wakati mwingine misaada ni mizuri eeh?... Ukinionea kloro mwambie ancheki nimpeleke akachague suti,..malipo juu yangu!
subiria quotation, ila andaa dollar pound (hii ni currency mpya ya updp) manake nataka nikatoe tafu igunga
unataka na zingine unaanzisha jeshi?
Dah! umechumbiwa na Dr Riwa nini?hizo nguo za nini? kwanza hata kazi yake haijulikani,muache apunge upepo. naskia zinasababisha ugumba? (haijathibitishwa rasmi pia)
Khaaa! tusiwasingizie watumishi wa mungu jamaniTehe, tehee! Umfowadie pia na za wale uliokuwa unawatongoza!.. Haki sawa!
Sweetlady bana! ile biashara yako kuuza mawigi kutoka msumbiji inaendeleaje?Hahahaha! King'asti miye simo!..lol..unamaanisha wakati mwingine misaada ni mizuri eeh?... Ukinionea kloro mwambie ancheki nimpeleke akachague suti,..malipo juu yangu!
sweety kwa kudeka bana,lakini ndio nachokupendea mwanamke lazima aringe kidogo na pozi kwa mbali,kuhusu bar si uliniambia niongee na anko wako naye p.o.box au physical address yake si bar ?hahahahaha mkwe ndio maana nakupenda. Lol!
Ila stp son wako tangu ashinde bado anatengeneza heshima bar. Ngoja nikuandalie fungu la shida ndogo ndogo. Lol.