fikirikwanza
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 7,452
- 3,073
Kwani wewe dadad yako chama gani?
Kwani umeambiwa CHADEMA ni chama cha familia!?? let her go. Hata babaake Mbowe alikuwa ccm, na Mtei pia
Jamani mbona ni haki yake kikatiba? MMesahau Makongoro aliwahi kuwa upinzani wakati Mwl. Nyerere (Baba mzazi akiwa CCM), tunalikuza saana hili jambo, ila inaleta picha kuwa kweli CCM mnaigopa CHADEMA. Hivi mnataka kutuaminisha kuwa ukoo woote wa Dr. Slaa wako CHADEMA? au ukoo wa Mh. Nyerere wote wako CCM? suala la kuingia chama chochote ni utashi wa mtu, hivyo Grace ameamua tumtakie mema huko alikoenda
mbona makongoro nyerere alihama ccm akaenda nccr mbona haikiwa tabu?cdm cyo chama cha mbowe
Aya nenda kwa Zito kachukue buku8,000Kwani umeambiwa CHADEMA ni chama cha familia!?? let her go. Hata babaake Mbowe alikuwa ccm, na Mtei pia
Hao magavana ndo walioiba pesa zetu kwa manufaa yao bnafsi,wamesahau nn Tz wanataka tena warudi kuchota mali zetu,wafie mbele hawatoiona ikulu mikonon mwa cDM kamwe.
Mkuu, hayo ni maandalizi ya ukoo wa akina Mbowe kuhamia CCM. Kuelekea 2015 tutashuhudia mambo mengi na wengi watabaki midomo wazi
Kwanza ni haki ya kila mtanzania kujiunga/kutojiunga na chama chochote!Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Aya nenda kwa Zito kachukue buku8,000
Yako.
Mkuu,
Hao BAVICHA uwa hawapewi buku 8000 bali uwa wanapewa viroba.
na hata MBOWE akihama chaddema itaendelea kusonga mbele sinc chaddema ni zaidi ya MBOWE. Sema nyingine.utasubiri sana hadi unakufa!
Ritz,Kimsingi Chadema ni chama cha kifamilia hilo lipo wazi wala haliitaji PhD kulitambua.
Mmiliki wa Chadema ni Mtei, na Mwenyikiti wa Chadema ni Mbowe, ambaye ni mkwe wa Mtei,
Kuna uwezekano mkubwa wa kimaslahi ndani ya familia ndiyo maana Grace Mbowe, kuamua kuondoka Chadema na kwenda CCM.
Tutasikia mengi pindi Grace Mbowe, atakapofunguka zaidi.