Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Dada yake MBOWE aikacha CHADEMA ajiunga na CCM!!

Haiwezekani kila nikienda Butiama nilirudi na musururu wa watu nitaweka wapi.kufuta meza meza zangu zipo ngapi.
watu wafundishwe kijitegemea
 
hizi zote ni mbwembwe za kujaribu kuuadaa umma kisiasa, ni kitu gani hapo nyuma kilimtoa au kilifanya grace asijiunge na ccm na leo kaona kimerekebishwa akajiunga? Wote huo ni ubabaishaji tu, ni michezo ya kisiasa lakini kubwa zaidi vyama siyo mali za familia, dini wala watu wa aina fulani bali ni mali ya wanachama wote kwa pamoja. Hivyo hata akihama mwenyekiti wa chama bado chama (taasisi) kinabaki na wanachama waliobaki. Ninakutakia maisha mema grace katika chama chako kipya ila ninakuomba urudishe kadi yako ya chadema kwenye ofisi za chadema siyo mali ya ccm ulikojiunga.
huyu grace ni uongo mbowe anayo dada mmoja na yuko amerca labda kama ni dada wa ukoo
 
maamuzi yake yaheshimiwe, kwani huyo mdada si wakwanza kuhama chama kimoja kwenda kingine
 
Iwe ni kweli au la kuwa huyu ni dada yake na Mbowe, baba mmoja mama mmoja, sioni kwa nini suala hili lizushe mjadala. Huu ni ushahidi kuwa siasa za bongo zimeingiliwa na mdudu! Huyu mama ni mtanzania na ana haki yake ya kikatiba kuamua kuhama ama kujiunga na chama cho chote cha siasa. Hakuna po pote katika katiba au katika mila zetu kijamii ambapo imeandikwa au kuzoelewa kuwa ndugu wa tumbo moja lazima wawe wanachama wa chama kimoja, au hata mke na mume, au watoto na wazazi lazima wawe wanachama wa chama kimoja. Haya mnataka kuyazusha nyie kwa vile yamezoeleka huko CCM na indeed, we're becoming too low in bongo's politics.
 
Dada kaona mbali sana big up na wengine bado muda upo wa kufanya maamuzi sahhi kurudi ccm
 
Kutoka page ya chadema in blood facebook

USAHIHI WA UVUMI ULIOENEZWA NA MAGAZETI YA CCM KUWA DADA WA KAMANDA MBOWE AMEHAMIA CCM TOKA CHADEMA

Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
 
Kimsingi Chadema ni chama cha kifamilia hilo lipo wazi wala haliitaji PhD kulitambua.

Mmiliki wa Chadema ni Mtei, na Mwenyikiti wa Chadema ni Mbowe, ambaye ni mkwe wa Mtei,

Kuna uwezekano mkubwa wa kimaslahi ndani ya familia ndiyo maana Grace Mbowe, kuamua kuondoka Chadema na kwenda CCM.

Tutasikia mengi pindi Grace Mbowe, atakapofunguka zaidi.

kimsingi madawa ya kulevya ndio yamempeleka huko ajinasue kimaisha.
 
CCM kwa uzushi hamjambo. Kuna siku mtasema dokta zaifu ni raisi bora wa dunia.
 
Jamani hebu tuache mambo ya kusikia. huyo Grace mnamsikia tu, laiti mmngejua. alishawahi lini kuwa mwanachama hai wa chadema? alishahudhurua lini hata mkutano mmoja wa chadema. Alishatoa lini mchango wake wa mawazo ili kurekebisha chama hicho ili kikae kwenye mstari na sio kudanganya wananchi. Tafadhali watanzania tuelewe kuwa UPINZANI sio chuki.
 
Usitake kupoteza mada kubali ukweli, ni dada yake toka ni toke, baba na mama mmoja.

Link hii hapa kasome: http://www.habarileo.co.tz/index.php/habari-za-kitaifa/15665-dada-wa-mbowe-atimkia-ccm

Hapa kuna mawili, yawezekana kaka kakiuka makubaliano au dada kauona ukweli kuwa chama hakina mwelekeo wa kuchukua nchi 2015 so kaona aanze mapema.
Ukiisoma vizuri kule Hai (dada alikorudisha kadi) mwenyekiti wa CCM anasema Jan - Aug 2013 tayari wana-CDM 550 wamerudi CCM. Wamewastukia wapiga dili wa CDM!!

Mlishawahi kukaa na kujiuliza kwanini Siri zenu za ndani ya Chama chenu zinavuja hovyo! Dr Slaa alishawahi kuwambia Chadema kila taasisi wapo! Sasa Kaeni mshangilie amekuja dada Yake Mbowe mara wanachama 550 wamerudisha Kadi za Cdm! Kumbe ndo mnakwisha ivo! Ata huyo Shonza na Mwapamba muwaangalie sana! Yote hii ni Mikakati ya kuimaliza Ccm!
 
If indeed the account is accurate - and that by no means is a given- this will actually undercut the argument that CHADEMA is a nepotist family party, to some extent.

Looking at the cross party intermarriages within the Tanzanian political elite families, the Mbowes as an example, it is ridiculous to entertain a party based line of demarcation.

How could one draw that line with the Mbowes, the Bomanis, the Nyereres, the Magenis, the Mwapachus, just to mention a few, intermarrying on a cross party understanding. Indeed many of these marriages were started way before the multi-party system was established, yet the families, as far as I understand, were not torn asunder due to the party differences. The family bond proving stronger.

I think this is a triumph for democracy and it shows that political affiliations need not be family based.
 
Kutoka page ya chadema in blood facebook

USAHIHI WA UVUMI ULIOENEZWA NA MAGAZETI YA CCM KUWA DADA WA KAMANDA MBOWE AMEHAMIA CCM TOKA CHADEMA

Grace Mbowe ni dada wa afande Gervace Mbowe OCS wa Makuyuni aliyewasaidia wasomali kumpiga mbunge Nassari. Hawana uhusiano wowote na Freeman Mbowe
Ata akiwa ndugu yake kweli kwani tatizo nini? Si ametumwa kuwa informa wa Cdm ndani Ccm Kama wao walivo kua wanamtumia Lodovick na baada ya kuumbuka wamemtosa ata ujira wake hawajamlipa na sasa anamatatizo ya Ndoa yake!
 
Back
Top Bottom