pambafDj zero sio kichwa mkuu, rekebisha hiyo

Kimsingi Chadema ni chama cha kifamilia hilo lipo wazi wala haliitaji PhD kulitambua.
Mmiliki wa Chadema ni Mtei, na Mwenyikiti wa Chadema ni Mbowe, ambaye ni mkwe wa Mtei,
Kuna uwezekano mkubwa wa kimaslahi ndani ya familia ndiyo maana Grace Mbowe, kuamua kuondoka Chadema na kwenda CCM.
Tutasikia mengi pindi Grace Mbowe, atakapofunguka zaidi.

Dada yake Mbowe kajitambua, ameona haiwezekani akili ndogo iongoze akili kubwa.
Hongera sana Grace Mbowe.
Kama nyumbani wanamkataa Mbowe, kulikoni.
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Amejitambua kuwa yeye hawezikuwa msukule.
Inawezekana Mbowe alitaka ampeleke kwenye vurugu akaona upuuzi.
soon vijana wengi watajitambua pia
si unajua mbwa bila kubweka hajulikani wanabweka mbwa wa ccm hao
Kimsingi Chadema ni chama cha kifamilia hilo lipo wazi wala haliitaji PhD kulitambua.
Mmiliki wa Chadema ni Mtei, na Mwenyikiti wa Chadema ni Mbowe, ambaye ni mkwe wa Mtei,
Kuna uwezekano mkubwa wa kimaslahi ndani ya familia ndiyo maana Grace Mbowe, kuamua kuondoka Chadema na kwenda CCM.
Tutasikia mengi pindi Grace Mbowe, atakapofunguka zaidi.
Jasusi.Ritz,
Kama Chadema ni chama cha kifamilia iweje sasa Grace aondoke kwenye familia? Na vipi ule mjadala wa Ridhiwani na madawa ya kulevya umeishia wapi?
unafiki mbowe dada yake ni mmoja na yuko america buku zako saba zinakuhusuwakati mwenyekiti wa taifa chadema mh freeman mbowe na baadhi ya wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, dada yake na mbowe gresi mbowe,ameamua kuikacha chadema na hatimae kujiunga na ccm!!
Source; gazeti la uhuru (radio free afrika)