Emmanuel Njile
Senior Member
- Jul 31, 2013
- 130
- 7
basi dada nenda kaungane nawatu wanao kemea ufisadi,madawa ya kurevya,kusafrisha ndovu na wanyama wakiwa hai we ni GAMBA
Mimi nina imani kuwa kuhamia kwake CCM kuna mahusiano na jinsia yake kama mwanamke na sio nafsi ukizingatia kuwa akiwa Chadema wanaume wengi licha ya kumheshimu, pia walimwogopa kwa sababu ya kuwa ndugu wa Mwenyekiti wao Bwana Mbowe. Jinsia yake ilipata wakati mgumu lakini kwa sasa iko huru ingawa nafsi itaendelea kumsuta kwani haijahama wala haitahama Chadema. jibu litakuwa wazi pindi Chadema ikiingia ikulu na kaka yake akashika nafasi ya waziri mkuu. Isitoshe kaka yake anawindwa sana na mafisadi kwa mabomu na risasi ili auwawe, hivyo uwepo wa dada huyo CCM unaweza kuzima harakati hizo ... si atakuwa shemeji. Kwa hilo nampongeza huyo dada kwa kuhamia CCM maana amecheza kama messi na CCM kwa kutokujua wanashangilia bila kujua hilo ni bao la kisigino.
Huyo Mama ni Mfano wa Kuigwa na Wanawakle wengine wa Tanzania wanaodanganywa kwenda kwenye maandamano waache majukumu ya kujenga uchumi wa Familia. Chadema wanadharau sana wanapojenga hoja.
Wala sio dada yke uongo mtupu hata ukoo hana propoganda yahuu muhuni katibu wa ccm hai anaebaka wanaume wenzake tabia mbaya ccm mmekosa viongozi kbsaaa
Huo ushauri mpe Tundu Lissufunga domo hilo!
CHADEMA sio mali ya mtu,ni mali ya wa Tanganyika na wa Zanzibar,ajabu ipo wapi kama kaamua kuondoka?
Mkuu nashukuru kwa kuniweka sawa...Mkuu kijome huyo atasaidia sana kwa intelligence ya chadema 😛eace: people's power!