Kimsingi Chadema ni chama cha kifamilia hilo lipo wazi wala haliitaji PhD kulitambua.
Mmiliki wa Chadema ni Mtei, na Mwenyikiti wa Chadema ni Mbowe, ambaye ni mkwe wa Mtei,
Kuna uwezekano mkubwa wa kimaslahi ndani ya familia ndiyo maana Grace Mbowe, kuamua kuondoka Chadema na kwenda CCM.
Tutasikia mengi pindi Grace Mbowe, atakapofunguka zaidi.
Wewe si unajipendekeza kwa mbowe ili upewe kazi ya kusimamia mapato pale bilicanas club? Mm nina mawazo huru ndio michango yangu haikufurahishi ht kidogoMkuu nimejaribu kupitia post zako unajibu kama waimba taarabu jaribu kujirekebisha unalidhalilisha hili jukwaa
Acha uzuzu kichwa maji ww, kwa hiyo esther wasira ambaye majina yanafanana tu na wasira ndio ishu ya maana? Tumia kichwa km ilivyoelekezwa na mungu ww
Wewe si unajipendekeza kwa mbowe ili upewe kazi ya kusimamia mapato pale bilicanas club? Mm nina mawazo huru ndio michango yangu haikufurahishi ht kidogo
Wewe huna mchango zaidi ya kujidhalilisha na kulidhalilisha jukwaa hii siyo sehemu ya kejeli kinachotakiwa ni hojaWewe si unajipendekeza kwa mbowe ili upewe kazi ya kusimamia mapato pale bilicanas club? Mm nina mawazo huru ndio michango yangu haikufurahishi ht kidogo
Wakati Mwenyekiti wa taifa CHADEMA mh Freeman Mbowe na baadhi ya Wabunge wakihojiwa na jeshi la polisi mkoani Iringa kwa kile kinachodaiwa na jeshi hilo ni kupitiliza muda wa kuhutubia ktk mkutano uliofanyika siku ya jumamosi, Dada yake na Mbowe GRESI MBOWE,ameamua kuikacha CHADEMA na hatimae kujiunga na CCM!!
SOURCE; Gazeti la Uhuru (Radio Free Afrika)
Safari inaendelea watahama wengi sana tu hii ni mwanzo wakuu chadema si chama cha siasa.
Nilishasema na nitaendelea kusema kuwa chadema ni kundi la walaghai wanaoendesha maisha yao kwa ujanja kwa kuwatumia watanzania kwa mgongo wa siasa.
kitendo cha dada yake mbowe kuhama ni ishara tosha kuwa ndani ya chadema kunauozo ambao si wa kuvumilia.
Safi sana, sasa anasubiriwa mbowe mwenyewe
Huu uzi magamba leo yamepata pa kupumulia naona yanpishana kutoa mapovu ila ule wa mtoto wa Wassira walichungulia tu,jana uzi wa Kurugenzi ya habari uliokuwa na mtiti wa raia waliochoka utumwa wa magamba yakalala mbele,leo wauza unga,wagonjwa kama mbeba mabox,savimbi na panya woote watashinda hapa...
Furaha yenu ni geresha tu zahama inayokuja hata nepi amechanganyikiwa.
Mbowe ni jina la ukoo kama ilivyo Mushi,Kimaro,Tarimo,Kereti,Mrema n.k.