Alvin A.
JF-Expert Member
- Oct 14, 2016
- 2,868
- 3,624
Nafahamu kuwa Mabinti hutegemea wanaume wawatongoze ili kuanza kujenga mahusiano na baadae Ndoa. Ni sahihi kabisa.
.
Lakini, ukiwa kama Binti, unayo nafasi yako endapo mwanaume aliye sahihi atakufuata. Ukweli ni kwamba, kuna upungufu mkubwa wa wanaume bora ukilinganisha na mahitaji ya mabinti kuolewa.
.
Na Mtaalamu wa masoko yeyote yule atakwambia bidhaa yenye Uhitaji (demand) (m)kubwa hununuliwa sio na wale wanaostahili ama wenye fedha, bali wale walio fasta. Yaani wale ambao wako tayari kuchukua hatua kuipata bidhaa hiyo.
.
Hivyo, kama unahitaji Mwanaume bora, usiwe mtu wa kujifungia ndani all day.
.
Haitajalisha ni kwa kiasi gani utamuomba Mungu akupe Mume, Mungu hatamleta Huyo mume moja kwa moja nyumbani kwenu/kwako.
.
Hebu patikana. Kama umeenda kanisani, mnapomaliza ibada ongea ongea na waumini wenzako kidogo, sio ukitoka tu moja kwa moja nyumbani.
.
Kutana na watu, ongea nao, tengeneza network, acha kuwa serious na anti social kwa kujifungia fungia ndani.
.
Mungu hatamtuma huyo mume aje avunje mlango wa kwenu na kukushawishi Ndoa.
.
Hebu patikana, sali na angalia!
.
#SeeYouAtTheTop