Dada ukitaka mchumba usijifungie ndani toka out sometimes

Alvin A.

JF-Expert Member
Oct 14, 2016
2,868
3,624
Nafahamu kuwa Mabinti hutegemea wanaume wawatongoze ili kuanza kujenga mahusiano na baadae Ndoa. Ni sahihi kabisa.
.
Lakini, ukiwa kama Binti, unayo nafasi yako endapo mwanaume aliye sahihi atakufuata. Ukweli ni kwamba, kuna upungufu mkubwa wa wanaume bora ukilinganisha na mahitaji ya mabinti kuolewa.
.
Na Mtaalamu wa masoko yeyote yule atakwambia bidhaa yenye Uhitaji (demand) (m)kubwa hununuliwa sio na wale wanaostahili ama wenye fedha, bali wale walio fasta. Yaani wale ambao wako tayari kuchukua hatua kuipata bidhaa hiyo.
.
Hivyo, kama unahitaji Mwanaume bora, usiwe mtu wa kujifungia ndani all day.
.
Haitajalisha ni kwa kiasi gani utamuomba Mungu akupe Mume, Mungu hatamleta Huyo mume moja kwa moja nyumbani kwenu/kwako.
.
Hebu patikana. Kama umeenda kanisani, mnapomaliza ibada ongea ongea na waumini wenzako kidogo, sio ukitoka tu moja kwa moja nyumbani.
.
Kutana na watu, ongea nao, tengeneza network, acha kuwa serious na anti social kwa kujifungia fungia ndani.
.
Mungu hatamtuma huyo mume aje avunje mlango wa kwenu na kukushawishi Ndoa.
.
Hebu patikana, sali na angalia!
.
#SeeYouAtTheTop
IMG_1564510048385.jpeg
 
Dunia hii ina wanawake wengi na kuna wanaume wengi pia,ila kuna mmoja tu ndiye aliyepangiwa awe wako wa kukupa furaha ya dunia.Na probability ya kumpata huyo ni 0.000000000000001;sasa ukijificha ndio kujipoteza kabisa;mwisho wa siku unakuja kuangukia kwa vilaza/vipanga tu ambao wanakuja kukupa msongo wa mawazo kwenye ndoa,kwa sababu aliyepangiwa kuwa wako bado yuko nje.
 
Kweli kabisa mkuu,

Waende ibadani, waache magari watembee kwa mguu unasalimiana na wapendwa wawili watatu baada ya ibada, karibisha wakaka unaohisi unawapenda wakutembelew (uaiwatongoze)

View attachment 1168549
Nimependa hapo kwenye sometimes,maana mwingine anazurura siku nzima hadi anapauka kwa kusaka wanaume,halafu mwisho wa siku anaanza kutafuta mchawi...
 
Kwenye kitabu cha Isaya 4:1-2
Na siku hiyo wanawake Saba 7 watamshika mtu mume mmoja wakisema , tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe , lakini tuitwe tu kwa jina lako , utuondolee aibu yetu.
Ni hivi kila mmoja wetu anapaswa kumshirikisha MUNGU juu ya kupata mwenza wake wa maisha. Tena kadiri nyakati zinavyosonga ndiyo nafasi ya kupata mwenza ndivyo inavyozidi kupungua kwa sababu uwiano Kati ya wanawake na wanaume unazidi kuwa mkubwa , yaani wanawake wanazidi kuwa wengi zaidi ya wanaume na ndiyo maana neno linatuambia itafika wakati wanawake 7 kwa mwanaume 1.
Kwahiyo wanawake nao hawana budi kuwa na ujasiri wa kutongoza pale ambapo anaona amemuona mwanaume anayefaa kuwa mume kwake huku akiongozwa na amani ya moyo wake ( Kolosai 3:15) imeandikwa hivi, Na amani ya KRISTO iamue mioyoni mwenu.
Kujiamini na ujasiri ndiyo utakao kupa mume mwema siyo kusubiria mpaka mwanaume akutongoze tena majira yanabadilika kwa haraka sana nyakati hizi.
Kweli, nachojaribu kukielezea hapa kukumbushana juu ya zama kubadilika na dhana ya wanaume ndiyo pekee wanapaswa kutongoza mwanamke wa kuishi naye. Hapa utakuwa unachelewa kila siku, maana utakuwa unamuona mwanaume unampenda au unamuona nakufaa kwa maisha alafu unakaa unasubiri tongoze. Kumbe kuna mwanamke mwingine amemuona na kumtongoza na kuanzisha maisha utabaki unauma meno kakuchukulia mwanaume wako..
Jamani tusilemae nyakati zinabadilika.
 
Kweli kabisa mkuu,

Waende ibadani, waache magari watembee kwa mguu unasalimiana na wapendwa wawili watatu baada ya ibada, karibisha wakaka unaohisi unawapenda wakutembelew (uaiwatongoze)
Wengi wanafikiri wakibetua midomo ndio wanakuwa wa kisasa
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom