Dada ukitaka mchumba usijifungie ndani toka out sometimes

Hilo mbona liko wazi? Huyo binti hata kama angetembea kwa miguu hafai kuwa mke, ameonyesha daliliza kuwa mwenye kiburi na majivuno. Hakuna mume atavumilia hayo, labda wale wanaooa kwa ajili ya mali. Mwanamke wa sifa hizo hata akianza kwenda beach akajichanganya na watu maeneo mbali mbali sana ataambulia mimba kama ana uzazi. Mke mwema hatafuti wanaume bali anatafutwa.

Samahani kwa kutumia neno kuzurura, lakini maana yangu ni hii, unaposema binti ajifunze kutoka ili aonekane na wanaume ni kujaribu kujiweka sokoni. Hii ni mbinu inayotumiwa na makahaba pia, ingawa yaweza kuonekana kwamba binti atakuwa na nia njema. Sijaelewa bado mantiki ya huyo mchungaji , lakini kwa mtazamo wangu vitu vinavyovuta hisia za mwanamume anayetafuta ndoa ni pamoja na:

1. Usafi binafsi

2. Mwonekano mzuri na mavazi ya staha.

3. Heshima na adabu kwa watu wa rika zote, mfano awapo kwenye jamii jinsi anavyozungumza na watu mbalimbali, anavyowachukulia wengine, aina ya mazungumzo anayofanya yawe yenye busara za mke, sio mtazamo wa kahaba. Kuna tabia ya binti akitongozwa kuporomosha matusi kama defensive mechanism. Jambo hili ni dalili ya tabia mbaya na mwanamke anayetenda hivi atafanya haya haya kwa mumewe.

3. Aina ya marafiki. Binti akiwa na marafiki wenye sifa mbaya hawezi kukwepa aibu yao. Atahesabiwa kati yao kwa sababu hata aina ya ushauri anaoupanda kwenye ubongo utafuatana na maisha ya hao rafiki zake.

4. Familia aliyotoka. Kama binti anatoka kwenye familia yenye sifa mbaya ni vigumu sana kupata mchumba. Malezi ya binti hufanywa kwa kiasi kikubwa na mama, hivyo kama mama hana sifa njema ni nadra sana kwa watoto wake kuwa tofauti.

Hizi ni baadhi tu ya sifa mabazo kijana yeyote mwenye nia ya mke akizigundua kwa binti, hakika atavutwa nazo na kuamua kumfuatilia jinsi anavyoishi na familia yake, ambapo huko atajua namna gani anayamudu maisha familia.

Mojawapo ya sifa mbaya kabisa ya mke ni kutokujua kupika, na hii imepelekea wanaume wengi kula mahotelini kuliko majumbani. What a shame!!

Mwanamke mwenye sifa hizi hahitaji kujitangaza bali atafuatwa kama nyuki wafuatavyo asali. Atakuwa na wakati mgumu kuamua yupi ni mume sahihi kwa sababu wengi watamtamani.

Ni mtazamo wangu
Asante kiongozi
ninapata maarifa makubwa sana
 
Umeamua kunisema mm? Nikitoka kazini home,kanisani home, hii kitu inatukutaga sisi ambao hatunywi pombe. vyakunywa vyetu vikogo home😁 maskini mm nikifika home chai, Maji, uji, nikipiga kimojawapo najigalalaza kwenye sofa miguu juu naweka movie(series) 😁😁😁😁 siku imeisha nasubiri Mungu amshushe apite dirishani ebooo!!!!😂😂 aiiiiiiiiiiiiiiiiii nimekwisha😀
 
Tembelea sehwmu wadada unaowapenda wanapatikana, kulingana na aina ya mke unayemtaka,

Kama unataka mcha MUNGU nenda wanapopatikana na kama unataka MCHARUKO watembelee wanapospend muda mwingi
Mkuu umenikumbusha mbali niliwahi kua na mcharuko mmoja hivi mpaka raha yaan ukicharuka jua nyege zimemjaa ww akiwa napiga mikelele yake ww tulia anza kumchezea badae utaanza kusikia anasema inamaana hunisikiii tu unataka nn sasaa ......kinachofatia hapo miguno tu
 
Umeamua kunisema mm? Nikitoka kazini home,kanisani home, hii kitu inatukutaga sisi ambao hatunywi pombe. vyakunywa vyetu vikogo home😁 maskini mm nikifika home chai, Maji, uji, nikipiga kimojawapo najigalalaza kwenye sofa miguu juu naweka movie(series) 😁😁😁😁 siku imeisha nasubiri Mungu amshushe apite dirishani ebooo!!!!😂😂 aiiiiiiiiiiiiiiiiii nimekwisha😀
Anza kutoka bibie utachina, ooohooooooooooooooooo!!!!!!!!!!
 
Kila nikikuita hutaki, nimeshachoka kukufatilia bhana .utajua mwenyewe
Umeamua kunisema mm? Nikitoka kazini home,kanisani home, hii kitu inatukutaga sisi ambao hatunywi pombe. vyakunywa vyetu vikogo home maskini mm nikifika home chai, Maji, uji, nikipiga kimojawapo najigalalaza kwenye sofa miguu juu naweka movie(series) siku imeisha nasubiri Mungu amshushe apite dirishani ebooo!!!! aiiiiiiiiiiiiiiiiii nimekwisha
 
Oooh hiyo imeshanishinda, tusipoonana kwenye mabus Muda wa kusafiri baaasi, mie na kushinda ndani ni kama Pete na kidole
Tembea tembea sometimes, nenda bichi, kanisani/msikitini, toka out na marafiki zako unaagiza hata soda na mishkaki
 
IMG_1912.JPG


You can have pdf copy of that to read. I hp one can get something out of that
 
Nafahamu kuwa Mabinti hutegemea wanaume wawatongoze ili kuanza kujenga mahusiano na baadae Ndoa. Ni sahihi kabisa.
.
Lakini, ukiwa kama Binti, unayo nafasi yako endapo mwanaume aliye sahihi atakufuata. Ukweli ni kwamba, kuna upungufu mkubwa wa wanaume bora ukilinganisha na mahitaji ya mabinti kuolewa.
.
Na Mtaalamu wa masoko yeyote yule atakwambia bidhaa yenye Uhitaji (demand) (m)kubwa hununuliwa sio na wale wanaostahili ama wenye fedha, bali wale walio fasta. Yaani wale ambao wako tayari kuchukua hatua kuipata bidhaa hiyo.
.
Hivyo, kama unahitaji Mwanaume bora, usiwe mtu wa kujifungia ndani all day.
.
Haitajalisha ni kwa kiasi gani utamuomba Mungu akupe Mume, Mungu hatamleta Huyo mume moja kwa moja nyumbani kwenu/kwako.
.
Hebu patikana. Kama umeenda kanisani, mnapomaliza ibada ongea ongea na waumini wenzako kidogo, sio ukitoka tu moja kwa moja nyumbani.
.
Kutana na watu, ongea nao, tengeneza network, acha kuwa serious na anti social kwa kujifungia fungia ndani.
.
Mungu hatamtuma huyo mume aje avunje mlango wa kwenu na kukushawishi Ndoa.
.
Hebu patikana, sali na angalia!
.
#SeeYouAtTheTop
View attachment 1168549
Kwahiyo huyo kwenye picha hapo..amekuja kutembeatembea kwako siyo!??
 
Mdada mchana kavaaaa majuba tuuuuu kaficha mpaka macho,, atapata wapi mume na usiku unakutana naye club kavaa kipedo labda alengeshewe tu na mume toka chato.
 
Back
Top Bottom