Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Tunavyokosea ni ving tu
1. Uwongo/kuigiza. Kama wewe ni Daby be Daby utapendwa na udaby wako usiigize maisha hii kwa wote ke/me.
2. Ligi yako. Wewe unajijua ligi yako ndogo unaenda kutongoza demu wa ligi soo lazima ulie tongoza mtu wa kiwango chako.
3.uvumilivu na tamaa kuna watoto wanahitaji uvumilivu sio haraka haraka tu.

Aseeh, huwa siwezi kuvaa ming'ao na mimi sio mtu wa kuruka na fashion sijui mi lucci na garbana nipo simple.
Dah safi sana Daby naamini majibu yako yametusaidia wengi na kama uhalisia wako ndio huo basi Upo smart sana na endelea kuwa hivyohivyo.
Big up bro
 
070676fa9aa0174be90fd4acbd36cdf6.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
I told you, andaa panadol kabisa. Umeona sasa matokeo yake? (joke)
pole sana mkemia. Labda nikushukuru sana kwa ushirikiano wako kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofikia,
Na ningeomba urudi kule page1, uanze kujibu maswali yaliyoulizwa na members (japokuwa yameulizwa kimakosa).
PIA KWA YEYOTE ANAYEPENDA KUULIZA SWALI, KUTOA DUKUDUKU, HOJA AU HATA MAONI BASI ANAKARIBISHWA.
Karibuni sana na ahsanteni sana.!
Kwanza kabisa nikupongeze kwa mahojiano mazuri, umejipanga vyema, hongera sana.
Pili nimshukuru Daby kwa namna alivyojibu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Siamini kama hamkujipanga nje ya uwanja
STUNTER
Daby
 
Kasoro haiwezi kuwa moja maana binadamu tuna kasoro nyingi za kimaumbile na za kitabia. Sijawahi kukutana na kasoro ya kimaumbile ila za kitabia huwa nakutana nazo. SIPENDI MWANAMKE ANICHEAT NARUDIA TENA SIPENDI anicheat na kuwa mwongo mwongo.

Kasoro ninazoweza kuzivumilia
Ni ushamba(usiulize utaanzisha mengine)
Anayelalamika lalamika
Uchafu utamfundisha n.k
Mbona sipendi anicheat teh
 
I told you, andaa panadol kabisa. Umeona sasa matokeo yake? (joke)
pole sana mkemia. Labda nikushukuru sana kwa ushirikiano wako kuanzia mwanzo mpaka hapa tulipofikia,
Na ningeomba urudi kule page1, uanze kujibu maswali yaliyoulizwa na members (japokuwa yameulizwa kimakosa).
PIA KWA YEYOTE ANAYEPENDA KUULIZA SWALI, KUTOA DUKUDUKU, HOJA AU HATA MAONI BASI ANAKARIBISHWA.
Karibuni sana na ahsanteni sana.!
Poa poa stun
 
Sitaweza kusema nimetongoza mara ngapi maana ni mara nyingi saana. Sikumbuki zingine.

Nakumbuka for the first time natongoza ilikuwa primary. Nilikuwa napenda kushinda na watu walionizidi umri kidogo sasa katika stori nikikaa nao wanagusia haya mambo. Nikajikuta nimeamua kuaaproach bwana... can you imagine nilimfuata mtoto wa jirani nikamwambia nipe (--) alilia saana na alimwambia mama yake nilikuja kuchezea mkon'goto wa kufa shetani.
hahahhahahahhahahhhaha aiseee
 
Back
Top Bottom