Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
Hapa Kuna upuuzi na ujinga mtupu.
Maswali ya kiwavi na mjibuji ana jibu kimaandazi nendeni zenu.
Pumba tupu na mashudu
Mkuu vipi? Uliachwa na Dabby?
Hapa Kuna upuuzi na ujinga mtupu.
Maswali ya kiwavi na mjibuji ana jibu kimaandazi nendeni zenu.
Pumba tupu na mashudu
Ooh, je ulishawahi kutongozwa na mwanamke?Kasoro haiwezi kuwa moja maana binadamu tuna kasoro nyingi za kimaumbile na za kitabia. Sijawahi kukutana na kasoro ya kimaumbile ila za kitabia huwa nakutana nazo. SIPENDI MWANAMKE ANICHEAT NARUDIA TENA SIPENDI anicheat na kuwa mwongo mwongo.
Kasoro ninazoweza kuzivumilia
Ni ushamba(usiulize utaanzisha mengine)
Anayelalamika lalamika
Uchafu utamfundisha n.k
jirani nakuona kwenye listNgoja niagize Katanga nishsfika
Ahsante ......unamacho mazuriii[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
Nimeisoma google tu lo!!Habari mkuu,unaijua perfume ya womanity?
Ahsante ......unamacho mazuriii[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
Aaaah mm tenajirani nakuona kwenye list
Hakuna vazi rasmi la kuaaproachia lolote ilimradi kila siku uwe msafi na smart.Sawa, sasa endapo unaplan kwenda kutongoza, unahisi ni muonekano wa namna gani huwa unakubeba sana au ulishawahi kusifiwa na msichana kwamba umependeza? Ulikuwa umevaa namna gani?
Nimeisoma google tu lo!!
Mazingira ya [kukurupuka] hili lipo saana kwa wenzetu whites sometimes mnaweza mkawa mmezoeana kidogo ukahisi amekupenda kumbe ni lifestyle lao..Daby ni mazingira gani ambayo unadhani hautokuja kutongoza hata ukutane na demu mzuri namna gani?
Eeh mana naona watu wameambiwa watulie hawasikii. Mwingine naona kaamua kutukana utadhani kaitwa... Watu wengine bana[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuita njiwa
Shida ni nn man,,,,,toroka kwanza halafu urudi baadaeHapa Kuna upuuzi na ujinga mtupu.
Maswali ya kiwavi na mjibuji ana jibu kimaandazi nendeni zenu.
Pumba tupu na mashudu
Mali ya umma hiiWhile standard four you were already in the game!....we ni bidhaa adimu sana
Yes nilishawahi....Ooh, je ulishawahi kutongozwa na mwanamke?
Teh teh si hiyo avatar au si yko[emoji4] [emoji6]Macho yangu umeyaona wapi?[emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Mweh nkichelewa chelwa apo wote wataopolewa,..na mm ntafta wa husda wangu lololoh
Kwani inanini??Sawa nilijua umeiona umeiona madukani.
Ulishawahi kutongoza kupitia mitandao ya kijamii? Je ulishawahi kubahatika kupata mpenziHakuna vazi rasmi la kuaaproachia lolote ilimradi kila siku uwe msafi na smart.
Nimesifiwa saana. Ila nikivaa kwa kuchomekea shati jeupe na suruali nyeusi kiatu cheusi huwa nasifiwa saana