STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
- Thread starter
- #121
Sasa Daby hebu tutajie zile zawadi ambazo huwa unapenda kumpelekea yule msichana ambaye unamtongoza, na ututajie zile zawadi ambazo zilikusaidia kuwanasa waremboKuna maswali mengine ukiyajibu unaonekana unajisifia.
Ila kiuhalisia sio mmoja ni zaidi ya mmoja. Nachukulia kawaida saana tu. baadhi tulikuwa wapenzi.