Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Swali kwa babuuu....... Je hao baadhi ya wanawake walio wahi kukutongoza uliwahi mukubalia hata mmoja????

Swali la pili.......kuna baadhi ya kazi ulizotaja km mwanamke anazifanya huwezi kua nae.... Kwahiyo hata km umenpenda kutoka moyoni km anafanya hizo kaz huwezi kuanza nae mahusiano??? (Mapenzi hayana formula)
Swali la tatu....ulishawahi kufumaniwaaa????[emoji4]
 
1=Ni mazingira gani Hatari uliwahi kufanya mapenzi na ilikuwaje?? 2=Kufanya mapenzi kinyume na maumbile umekuwa ni mchezo unaopendwa na wengi Je!! Ulishawahi kushiriki?? Kama ndiyo Nini kilikupelekea kufanya hivyo kama ni Hapana unatoa ushauri gani kwa wahusika wa huo mchezo???3=Umewahi kuzama chumvini?? Kama jibu ni ndiyo ulijickiaje??? Na nini faida na hasara za kuingia uvinza????
 
Swali kwa babuuu....... Je hao baadhi ya wanawake walio wahi kukutongoza uliwahi mukubalia hata mmoja????

Swali la pili.......kuna baadhi ya kazi ulizotaja km mwanamke anazifanya huwezi kua nae.... Kwahiyo hata km umenpenda kutoka moyoni km anafanya hizo kaz huwezi kuanza nae mahusiano??? (Mapenzi hayana formula)
Swali la tatu....ulishawahi kufumaniwaaa????[emoji4]

Yes niliwahi kuwakubalia.

Kupenda mtu kwangu ni pamoja na maisha yake kwa ujumla na hauwezi kutenganisha kazi ya mtu na maisha.

Sijawahi kufumaniwa. La kukuongezea mwanaume huwa hafumaniwi
 
Back
Top Bottom