Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Duh darasa la tano ushajua kutongoza?! Mimi hadi leo domo zege....!
Hhahahahaaaa umenifanya nimkumbuke huyu member Nyani Ngabu
Poleee
Duh darasa la tano ushajua kutongoza?! Mimi hadi leo domo zege....!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji4]Bro, hamna labda kwasababu sio mfuatiliaji wa bongo muvi nadhani ningekuwa nafuatilia angekuwepo.
Ok, baada ya kumtongoza demu na akakukubalia,Bro, hamna labda kwasababu sio mfuatiliaji wa bongo muvi nadhani ningekuwa nafuatilia angekuwepo.
Ganja girl naomba msokoto mmoja please!Ka mjadala kako vzr niko mubashara hapa Cc Daby
Unahisi zamani wakati unatongoza ulikuwa unakosea sehemu gani ambayo sasahivi umeirekebisha?
na ni kitu gani ambacho unahisi unacho au endapo Ukiwa nacho kitakurahisishia wepesi wa kuwang'oa mademu?
Daby
Duh mkuu naona unatengeneza zanzi ya kisukuma au mbege,..!?
Sasa hizi ID fake stamtaja nanSiyo bongo,ataje wa hapa JF!🙂
[emoji39] [emoji8]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] kuita njiwaWasumbufu wote baada ya kipindi mtoke mbele mpige magoti muite njiwa...
Sasa hizi ID fake stamtaja nanSiyo bongo,ataje wa hapa JF!🙂
Karibu
Sawa, sasa endapo unaplan kwenda kutongoza, unahisi ni muonekano wa namna gani huwa unakubeba sana au ulishawahi kusifiwa na msichana kwamba umependeza? Ulikuwa umevaa namna gani?Nilikuwa sina confidence ya kutosha sasa hivi ipo.
Haha. Wepesi wa kuwang'oa mademu hii kauli tata bro. Nwei mimi huwa naambiwa ni mcheshi na kila sehemu napokuwa hadi nilikosoma nimekuwa mtu wa watu sio wanawake tu mpaka wanaume hii imefanya nisiwe nahangaika saana ninapompenda mwanamke. Vingine sitaki kuvisema nitavuka mipaka.
Hakuna nachotamani kuwa nacho zaidi ya kuwa Daby . I'm I brother.
Mweee!!mm nilitania hata sijuiii!!!
Ahsante ......unamacho mazuriii[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Karibu
Ok, baada ya kumtongoza demu na akakukubalia,
Je, ni kasoro gani ambayo ukimkuta nayo itakufanya uchukue jukumu la kumuacha?
Vilevile tutajie kasoro kadhaa ambazo unaweza kuzivumilia
Chang'aa