Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Daby ndani ya nyumba! Interview: Kutongoza na muonekano

Ohooo! Inafurahisha alafu inahuzunisha, pole sana!
Sasa baada ya kupokea mkong'oto Ulichukua uamuzi gani?
I mean uliendelea kutongoza?
Na ilikuchukua muda gani mpaka kuja kutongoza tena?
Je ulitumia style ile ile au ulibadilisha gia angani?
Ingependeza zaidi ukaeleza na style mpya uliyotumia

Sikuacha....

Hapo ilikuwa standard 4. Standard 5 mwanzoni nikaja kutongoza tena ila hapa nilijenga mazoea saana kwanza hivyo nilipokuja kumwapproach hakuleta zengwe kama aliyenisababishia mkon'goto alinikubalia.
 
Wakati huo unatongoza, ulikuwa unaangalia sifa zipi hasa mpaka zinakushawishi kuwatongoza hao mabinti?
 
Sitaweza kusema nimetongoza mara ngapi maana ni mara nyingi saana. Sikumbuki zingine.

Nakumbuka for the first time natongoza ilikuwa primary. Nilikuwa napenda kushinda na watu walionizidi umri kidogo sasa katika stori nikikaa nao wanagusia haya mambo. Nikajikuta nimeamua kuaaproach bwana... can you imagine nilimfuata mtoto wa jirani nikamwambia nipe (--) alilia saana na alimwambia mama yake nilikuja kuchezea mkon'goto wa kufa shetani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sikuacha....

Hapo ilikuwa standard 4. Standard 5 mwanzoni nikaja kutongoza tena ila hapa nilijenga mazoea saana kwanza hivyo nilipokuja kumwapproach hakuleta zengwe kama aliyenisababishia mkon'goto alinikubalia.
Wakati huo unatongoza, ulikuwa unaangalia sifa zipi hasa mpaka zinakushawishi kuwatongoza hao mabinti?
 
Aseeh ni ngumu kukumbuka lakini kwa kuangalia ke nilikuwa natoka nao sana saana maana ni shuleni ni wale wanaojulikana saana na waongeaji kidogo.
Okay huo ulikuwa ni mwanzo wa kuanza kutongoza, je kwasasa ili umtongoze dem huwa unaangalia vitu gani kwenye muonekano?
 
Mkuu stunter sisi watazamaji tunaruhusiwa kuuliza au bado muda wetu?
kwasasa muda bado, ila andaa maswali yako then mwisho nitaruhusu maswali mchanganyiko. Na kama unahisi hautopata nafasi mwishoni basi nitumie hayo maswali PM, then nitakuwakilisha mkuu
 
a6bcf54056d1b3192ddc657eb3a283d4.jpg
[emoji39] [emoji8]
 
Okay huo ulikuwa ni mwanzo wa kuanza kutongoza, je kwasasa ili umtongoze dem huwa unaangalia vitu gani kwenye muonekano?
Ni Vigumu saana kuelezea picha ya muonekano iliyopo ndani ya hisia zangu maana unaweza kushangaa x wako alikuwa bonge wa sasa hivi model .. ila kwa ufupi muonekano wa kawaida sio bonge sio mwembamba
 
Huu uzi ni mtamu ila unavamiwa na viwavi jeshi jamani wooote tumeshaagiza popcorn haya basi tutulieeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Back
Top Bottom