Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Mkuu wala mke hujachapiwa, alikuwa kwa wifi yake, option ungempigia dadako simu kuomba uongee na mkeo, women are smatter kuliko unavofikiri when it comes kwenye ishu ya papuchi zao. Anakupanga unapangika na anatumia kila sekunde bila kukosea
 
Ukiwa na mawazo ya kuchapiwa chapiwa demu wako, utapata taabu sana. Utakuta binti hata akienda chooni kukata gogo utafikiri ameenda kugegedwa na ukuta wa choo
 
Ni kweli lakn .....mm huwa ikitokea hvo huwa nachukua hatua ili yasije kunitokea puani siku za mbeleni ,lakn kwa upande wako unaonekana huyu demu kakushika sana hufurukuti..

Kumbuka wanawake ni kiumbe pekee kilicho onana na shetani wakapiga stori za kuangamiza uzao wa Mungu na dunia kwa ujumla!!

Take care!!!
Hahahahah hii phrase tamu sana aisee imenichekesha maana ni ya kweli 100%!
 
Ukiona mwanamke anavi standard vingii vya kishenzii na kipuuzi ...just know that she’s single,lonely,horny and depressed mafii kbsa
 
Tayari bablai..ushachapiwa..huoni kakutafuta mida ya kurudisha chumba cha lodge..kashaachana na chalii sasa ndo yuko free..
Hahaha aisee mule mule, kwa sisi wazoefu wa hizo kazi tushaelewa kwamba mwanamke amejiongeza tayari na show ilikuwa ijumaa jioni mpaka kuamkia jumamosi ambayo mtoa mada anatoa bandiko huku! Hamna namna zaidi ya kujipa matumaini illa kiukweli kama mke hamna hapo! Kwa hio scene hamna kipya!
 
Hivi bado watu mpo kwenye mahusiano ya kupiga simu haipokelewi mpaka kesho yake asubuhi?

Sio lazima ukae kwenye mahusiano.
 
Inatokana na mtu ulienae,kuna mwingine atakauambie anaenda wapi na mda gani utajua tu yupo salama, lakini kama aliahaanza kukuonesha vijitabia fulani lazima ue na mashaka hayo
Aisee hii hali ilinitesa kwa muda mrefu sana, baada ya kugundua mpenzi wangu ni mnafiki kwa kutumia mobile tracker app nilianza ishi nae kwa machale hadi nilipoona inatosha sasa cha kufia nini, maana unapiga kelele mtu habadiliki tabia ikawa sugu mkikaa kwa utulivu kidogo tu utakuta kaanzisha affair na mtu mwengine nje!
Utashangaa tu kuna njemba wanachat nayo kimya kimya akija home anafuta text,saingine akiwa mbali mnaongea unaskia kakatisha maongezi anajibu text kisha anaendelea ongea ukiuliza vipi unaskia simu ilijibonyeza! Alipoanza tabia ya kupanga kuwasafiria tu awapelekee ngenya nikapiga chini nikampa ukweli kuwa nayajua yote!
 
Ukishaona demu hapokei ila anakuja kupokea kesho yake tena mida ya saa nne hapo ujue demu wako alikuwa gest na hiyo saa nne ndio katoka kurudisha chumba....hii ni kwa sisi wenye mahesabu makali.
Hahahaha, ukiona nyoya
 
Duuh mkuu umenikumbusha kitambo kidgo, aliekua mpenzi wangu na mimi aliniaga kama hivyo anaenda kusalim badae kuanzia mida saa 12 jion hupatikan kwenye simu anakuja kunitafuta kesho yake saa nne asubuhi duuuh... na tulikua tunapendana balaaa.. Badae tulipomeet akanipa staili moja matata sana ambayo hapo kabla hatukuwahi kuifanya, kumuuliza akanambia et amesoma mtandaoni ili tufurahie tendo asee nikafanyaa ihiiiiiiiiiiiii, siku nyingne tumeonana nikamwambia tuirudie ile staili et ameisahau...asee Wanawake salute kwenu...hua nawachek nafanya tu ihiiiiiiiiiiii
Mi akinipanga hivyo najua tu, kuna mwanamke nilimkamata red handed nilimfatilia kauli zake nikaona ananiiingiza kingi nikaja mkamata anaingiza jamaa ndani kwangu! Ile wameingia tu kabla hawajafanya lolote nikawakurupua, nkakuta mwamba kabandikiwa maji ya kuoga kabisa na mwanamke kanunua air freshner mahususi kabisa naingia ndani nakuta pananukia bustani tu! Aisee sitakaa kuwaamini hawa viumbe kamwe, tunaingia kwenye relation ila after some time nitaku bug tu nijue mawasiliano yako yote ukiwa mbali na mimi!
 
Siku nyingine msindikize. Ama akitaka kuondoka mle kwanza hadi imufikishe kileleni hamu yote ya kwenda kuliwa lazima ikate.
Hawezi kukubali kukupa game na hata akikupa atakupa ilimradi tu kama wafanyavyo wale wa kimboka yani umalize asepe zake maana mawazo yake yote yako nje kule na ile kilele kuifikia ni lazima hisia na utulivu wote awe ameu dedicate kwako wakati unamkaza!
 
Leo game hakupi atatoa sababu we muombe uone!!
Ndio ilivyo, mwanamke akitoka ku cheat hakupi uchi siku hiyo. Ila kesho atakupa, force kupiga bila romance utashangaa mashine imepenya fasta, uchi umekuwa mlaini sana ama umetepeta na pengine unavuja ute ute(mabaki ya shahawa) jua tayari! Kaza roho tu,
 
Kikubwa wewe kagua sehemu zake za siri, ukizikuta hujachapiwa usipozikuta umechapiwa.
 
Hawezi kukubali kukupa game na hata akikupa atakupa ilimradi tu kama wafanyavyo wale wa kimboka yani umalize asepe zake maana mawazo yake yote yako nje kule na ile kilele kuifikia ni lazima hisia na utulivu wote awe ameu dedicate kwako wakati unamkaza!
Wewe. Kama ni mkeo kumfikisha kileleni ni sekunde tu. Lazima umujue sehemu zake za mchecheto.
 
Wewe. Kama ni mkeo kumfikisha kileleni ni sekunde tu. Lazima umujue sehemu zake za mchecheto.
We huwajui hawa watu unaongea kwa nadharia, sio kila gemu unayopiga na mkeo anafika kileleni hujiulizi kwanini? They depend on emotional stability to become satisfied, kama hisia hajaziweka kwako wakati unamkaza hatakaa afike huko kileleni maisha na mpaka mwanamke anapanga kwenda kuchiti ujue hana upendo kabisa na wewe, umehamia kwa jirani anakopeleka uchi huko!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom