Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Vumilia tu we ni mwanaume bhna pia usipende kula mwenyewe siyo sumu hiyo mkuu pole sana km ni kwel
 
Wanawake huwa sio watu wa kujali sana simu zao, ile theory ya kutomuamini mwanamke yyte tofaut na mama yako ndio inanifanya niungane na comment nyingi zilizotolewa
 
Siku nyingine msindikize. Ama akitaka kuondoka mle kwanza hadi imufikishe kileleni hamu yote ya kwenda kuliwa lazima ikate.
 
Kwanini unawaza hivyo? Mwache awe free tu, kama unampenda muamini, nguvu ya kukusaliti au kutokusaliti iwe juu yake, sasa sisi wenye wake ofisi zipo mikoa mingine na hatuonani hata miezi miwili tuishije? Kupigapiga simu mara kwa mara inaboa, ndo mana anakukaushia, anajua una wivu sana kitu ambacho kinamkera, jiamini tu. Unaweza kusema labda ataleta magonjwa, ukumbuke gari inaweza kukugonga pia kwa hayo mawazo yako hasi halafu UNAKUFA.
Hahahaaa, Daah JF kuna vituko sana.
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
ushachapiwa...we utakuwa una huyo mmoja tu ndio maana unapata presha
 
Kitendo cha wewe kumtafuta yeye kila wakati ni uboya wa hali ya juu..inaonekana anakumudu na unachapiwa sana na huna pa kwenda...we mfanye awe anakutafuta wewe
 
Bora hata ungejifikiria mwenyewe ukaja jihakikishia akirudi
Humu unaongezea pressure tu

By the way hofu yako tu mkuu
Kwani haumuamini?

Anaweza akawa kweli alikuwa busy,Ila vile vile huenda kuchapiwa kupo,ila usikupe nafasi saaana,kama kweli utagundua tu soon,hatachelewa kubadili tabia.
Mtoa mada jiulize kwa nini apatikane saa nne mida ya kurudisha chumba cha gesti?
 
Em jifunze kupitia kwangu,

Nina mchumba wangu tayari nimemtolea posa kipindi anamimba ya miezi mitatu hivyo najulikana kwa baadhi ya ndugu zake ila sasa kishajifungua na mtoto ana mwaka na miezi mitano, sijamuoa sababu ni mjeuri na kiburi pia anajiona ananipelekesha sababu mimi huwa napenda kutumia busara, ila kuna siku nilimwonyesha jinsi nilivyo, aliniaga anataka kwenda kusalimia ndugu zake na angerudi siku ya pili,

Nikaenda nae mpaka kwa Bibi yake MBande ndani ndani hukooooo

Kisha nikageuza nikamwambia kesho awahi kurudi (hapo kwenye smartphone yake nahack mawasiliano yake yote)

Kesho yake nikawa nawasiliana nae mpaka saa tisa alasiri, kufika saa kumi ikawa nikipiga simu anapokea jamaa nikamuuliza wewe unayepokea hiyo simu ni nani kwake akajibu kaka yake, nikaendelea kusumbua baadae akaniblock, nikapiga kwa namba nyingine akapokea nikamwambia mpe mwenye simu niongee nae akanijibu hayupo, nikamuuliza alipo nikajibiwa yupo kwa mjomba, bahati mbaya mjomba wake simfahamu nikampigia simu mdogo wake wa kike ye akasema hajaonana nae, nikamwambia anipe namba za mjomba wake akasema ye hana,

Nikatulia nikawa nafikiria cha kumfanya akirudi, nikapiga simu mpaka kwao Tanga huko, nikawaambia ujinga alioufanya binti yao wakanijibu wanamtafuta kwenye simu, nikapiga kimya, kufika saa mbili anaingia home kakuta nimekasirika,

Swali la kwanza, "nahitaji kumjua uliyempa simu kisha akawa ananiblock ni nani?" Jibu, mdogo wake

Swali la pili, " kwa nini umuachie yeye simu?" Akajibu nilimpa akaniwekee chaji kisha alipoipeleka umeme ulikuwa umekatika,



Nikamuuliza kwa nini usiingeenda nayo kwa mjomba wako ukachajie huko? Akajibu huko hakuna umeme,

Nikamuuliza kwa nini umechelewa kurudi wakati jana nilikwambia uwahi? Akajibu nilicheewa kwa bibi tulikua tunamsaidia kuchota maji, nikamjibu OKAY, mara nyingi nikitoa hili jibu ye huwa anajuwa namaanisha nini na anajua lazima kuna kitu nataka kumfanyia

Hapo nimefuatilia mawasiliano yake tayari sikuona simu yoyote ile zaidi ya mjomba wake aliyembipu na mdogo wake wa kike maana hata maongezi walikuwa wakisalimiana tu,

Pia huyu ni mshamba hajui maswala ya technolojia maana kuacha nafasi tu kati ya neno na neno kwenye msg alikuwa hajui ndo nimemfundisha mimi,
Pia sa hivi ndo namfundisha na kutumia Laptop

Nilishawahi kufuma text zake akijaribu kuchepuka nikampiga biti nikamwambia chochote utakachokifanya hata uwe wapi mimi lazima nitajua tu


MPAKA HII LEO ANAJUA SIMUAMINI NA HUWA ANANIAMBIA KABISA KWAMBA MIMI SIMUAMINI NAMI NINAMJIBU HAITATOKEA HATA SIKU MOJA NIKAKUAMINI

Huyo wako ulipaswa kumzukia hadi kwa huyo wifi yake sijui uhakikishe kama kafika au la

Pia mwanamke si wa kumwamini hata siku moja

KAMWE MWANAUME HAWEZI KUWA MALAYA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom