Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

ndoa ngumu sana, halafu hizi mentality za kuamini viumbe vingine kisa tu umetoa mali na pesa ukaoa mtakuja kufa siku si zenu
 
Inatokana na mtu ulienae,kuna mwingine atakauambie anaenda wapi na mda gani utajua tu yupo salama, lakini kama aliahaanza kukuonesha vijitabia fulani lazima ue na mashaka hayo
uko sahihi mkuu!
kuna viindicator sometime sio vizuri katika huu ukanda
 
Mkuu pole,pia tujitahidi kuwaaamini Wake zetu ktk kila maeneo.
Please jamani tusitoe maneno ambayo hatuna uhakika nayo ktk maisha yetu,kwahiyo tusimkatishe jamaaa tamaa asije chukua hatua nyingine ikaleta matokeo mabaya.
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?

NAUNGA MKONO HOJA!!!

 
Nakumbka nna ex wng, alikuwa ananiaga anaenda kwa Dada ake kumbe anapeleka papuchi kitaa kwingine, nilivyogundua nikamwambia akajiliza Liza nikavunga yameisha siku kazama upya kwangu deep nkamwacha mpk sasa huwa haelewi ni kwanini nilimwacha
 
Wasiwasi ndio akili..

Ila mkuu hio mida ya saa nne ndio mida vyumba vya guest vinarudishwa...kaa tulia kama Jamaa atataka kumshindua tena ataaga so be care when it happen next time.

Ila kuchapiwa huwezi ku-avoid
Hahaha..mida ya kukabidhi chumba ndo hii..mtamuua mleta mada na pressure
 
Kuna wanaume wengine mabwege sana.. mwanamke wako unahisi umechapiwa ila hauna uhakika. Unajua wewe neo ungefanya utafiti kama kweli kashughulishwaa. Ungeomba mecho na ungempa show ya kibabeee hatarii yaan ssiku ingine haendi kufanya ufyoko wakeee.. ukihisi hivyo omba mechi na utajua kuwa kafanya au hajafanyaa..
Narudia mpe show ya kibabe siku anayorudi usingoje apumzikee.. ningekuwa mwanamme mie mpz wangu angekomaaa.
Si hadi awe na uwezo wa hiyo shoo ya kibabe mkuu ,wengine hawawezi
 
Ukishaona demu hapokei ila anakuja kupokea kesho yake tena mida ya saa nne hapo ujue demu wako alikuwa gest na hiyo saa nne ndio katoka kurudisha chumba....hii ni kwa sisi wenye mahesabu makali.
 
kwani huna hata mawasiliano ya huyo aliyeenda kumuona au hata bwana shemejio? Ukalala comfotably huku wife amekata mawasiliano🙅🙅 hii inaonesha usivyomjali kwahiyo sishangai ikiwa umechapiwa tena na yule mgosi muuza genge💃💃💃💃
 
kwani huna hata mawasiliano ya huyo aliyeenda kumuona au hata bwana shemejio? Ukalala comfotably huku wife amekata mawasiliano🙅🙅 hii inaonesha usivyomjali kwahiyo sishangai ikiwa umechapiwa tena na yule mgosi muuza genge💃💃💃💃
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom