Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Wasiwasi ndio akili..

Ila mkuu hio mida ya saa nne ndio mida vyumba vya guest vinarudishwa...kaa tulia kama Jamaa atataka kumshindua tena ataaga so be care when it happen next time.

Ila kuchapiwa huwezi ku-avoid
 
daaah sad.. shakubalii
Tafuta mnyonge nawe umchapie. HI inaongeza nguvu za kiume.
"Mapenzi ya siku hizi ukijidai una mapenzi kama yale ya kina Inna na Angelo kwenye tamthilia za kifilipino. Utabaki unalia lia kila siku" Hapo kama mimi lazima nimtafune rafiki wa mke wangu na mtoto namzalisha na kwa mkomesha anakuwa nyumba ndogo. pole sana rafiki yangu. Kunywa maji mengi na fanya mazoezi upunguze hasira. Ishatokea hivyo hakuna jinsi
 
Don't stress to much sh!t suppose to happen n!qqer
 
Wakati mwingine ukiona upepo unaenda siko acha kupiga piga simu toka home fuatilia nyayo sio unalia lia huku jmvini mkuu. Unatuchosha
 
Ungekuwa umemuoa ningekushauri kitu. Lakini huyo huna leseni nae.
 
Mmmh usimjudge coz hujamkamata akiwa anashughurikiwa mguu mmoja uvunguni mwingine juu ya dari...heheh
 
Ile ile jana ulipoona hapokei simu ilibidi ufanye ziara ya kushtukiza huko huko kwa dada ake.
Angeenda kujiumiza zaidi kwasababu ni wazi kabisa angemkosa hapo kwa kaka ake.

Bora amekubali matokeo kiungwana maumivu sio makubwa saana
 
Wakati mwingine ni wasiwasi wako tu unakufanya ufikirie hivyo na huenda hakuna kilichotokea.
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom