Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

hakuna utata hapo mzee.demu wako keshakalia msumari usiku kucha.. na inaonekana ni mchezo wake..cha kukushauri we endelea kumla tu hata usimwambie chochote..ila tumia mpira sasa
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Uanaume wako unastahili uchunguzwe kabisa

Bado mvulana ukikua hutafanya upuuzi huu yaani huna namba ya cm ya kaka yake na WiFi yake kwanini usiwaulize

Huyu atakuwa katekwa
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Piga simu kwa wifi yake tena mpigie mwanaume mwenzako kumuuliza kama mkeo alifika huko
 
Alafu alitaka kuzima simu nikamuambia aimute tu maana zinaweza kuja simu za maana asizikose
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Pole sana. Mwanamke kwa simu ya mmewe hata atingwe vipi ikiita lazima aipokee. Na ikitokea emergency lazima haipiti dakika atapiga wee eti mpaka asubuhi huna mke hapo tena kazoea huyo mkongwe. Tumia busara utamkamata tu au kama unampenda hutaki talaka usimfuatilie kama unataka ujue yote Google app ya kuwakamatia gharama ni 50000 tu.
 
KUWA MPOLE. KUTOKUPOKELEWA KWA SIMU AU KUTOJIBIWA MSG SI USHAHIDI KUWA AMEKUSALITI. HAYO NI MAMBO YANAYOUJITOKEZA TU LABDA ALIKUWA MBALI NA SIMU AU ALIJISAHAU TU.

INAELEKEA UNA WASIWASI SANA KUWA UMESALITIWA. JE HII NI MARA YA KWANZA AU YALISHAJITOKEZA TENA, NA ULIGUNDUA NINI KAMA YALISHAJITOKEZA TENA.

NB:
UKIWA MJAJA, KUCHAPIWA NI SIRI YA NDANI HUSIILETE HUKU UTAKUTANA NA MAJIBU YA KUKUKATISHA TAMAA
ni mara ya kwanza
 
Inabidi uoe tu maana ungepata hata namna kumpigia kaka/wifi yake useme unataka kuongea nae hapokei simu. Lkn yote kwa yote akiamua huwezi kufanya kitu hata kama amefungwa tracking device anaweza fanya ofisini wewe ukajua yupo job.
 
Inabidi uoe tu maana ungepata hata namna kumpigia kaka/wifi yake useme unataka kuongea nae hapokei simu. Lkn yote kwa yote akiamua huwezi kufanya kitu hata kama amefungwa tracking device anaweza fanya ofisini wewe ukajua yupo job.
 
Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Mmmmmh
 
Duuh mkuu umenikumbusha kitambo kidgo, aliekua mpenzi wangu na mimi aliniaga kama hivyo anaenda kusalim badae kuanzia mida saa 12 jion hupatikan kwenye simu anakuja kunitafuta kesho yake saa nne asubuhi duuuh... na tulikua tunapendana balaaa.. Badae tulipomeet akanipa staili moja matata sana ambayo hapo kabla hatukuwahi kuifanya, kumuuliza akanambia et amesoma mtandaoni ili tufurahie tendo asee nikafanyaa ihiiiiiiiiiiiii, siku nyingne tumeonana nikamwambia tuirudie ile staili et ameisahau...asee Wanawake salute kwenu...hua nawachek nafanya tu ihiiiiiiiiiiii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom