sawa leo kwangu kesho kwako mkuuUmeshachapiwa....we hadhi yako makombo fc..komaa
Nadhani ni mawazo yako FINYU, ukiendelea hivi utachapiwa kweli.au nimawzao yangu tuu finyuu?
Ni kweli lakn .....mm huwa ikitokea hvo huwa nachukua hatua ili yasije kunitokea puani siku za mbeleni ,lakn kwa upande wako unaonekana huyu demu kakushika sana hufurukuti..sawa leo kwangu kesho kwako mkuu
Bora hata ungejifikiria mwenyewe ukaja jihakikishia akirudiDaaaah out off mood
Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.
Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee
wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Kama alimkuta bikra unamshsuri kivp?Kwani ulimkuta na Bikra bana kizuri kula na wanzako
Hata uwe unamuamini vipi, kuchapiwa lazimaMaisha ya ndoa ni changamoto sana....ukiwa na fikra za kutomuamin mwenzi wako utajiumiza ww na nafsi yako maana kila wakat utataka ujue yuko wapi,na nani,anafanya nn kwann n.k....
Hii hali n mbaya sana,instead muache tu ajichunge yy mwenyewe maana huwez kumchunga MTU mzma kama wew, akinuia kuchepuka atachepuka tu ila za mwizi n 40,hawez danganya bila kuja kukamatika....
Usipomuamin mwenzi wako hata akikuambia jambo LA kweli wew utahis kachepuka tu na akishajua wew unamuspy sana na humuamin ndio ataamua kufanya kweli ili tuhuma unazomtuhumu zithibitike...
Aminianeni tu
Hehehe,hujanielewa nilichomaanisha mkuu.....Hata uwe unamuamini vipi, kuchapiwa lazima
Hah, waaminifu hakuna kweli siku hzi mkuu!! Pia usimuamini mtu kwa 100% maana utajutaHehehe,hujanielewa nilichomaanisha mkuu.....
Lakin Kuchapiwa sio lazma, ukifanya tendo hili likawa lazma bhc n sawa na kusema waaminifu hawapo tena siku hizi,jambo ambalo sio kweli
Pole sana brother.Daaaah out off mood
Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.
Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee
wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Waaminifu wapo sema ni wachache sanaHah, waaminifu hakuna kweli siku hzi mkuu!! Pia usimuamini mtu kwa 100% maana utajuta
Dah labdaWaaminifu wapo sema ni wachache sana