Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Huyo sio demu wako tena Brow
Wew endelea kupga ila ukijua unapga kama mchepuko

Cku kimyah kimyah una mtema
 
Mpigie au mtembelee huyo wifi yake bila yeye kujua utapata jibu kijana.
Kumbuka MPIGIE au MTEMBELEE bila yeye KUJUA.
 
Pole, Leo kajaribu kama unataka mzigo then fanya research utagundua, maana kama kaamka saa nne kachoshwa kweli manaake katumika kweli. duh! inauma sana, naanza kuvuta picha cinema ilivyokuwa kiukweli nakuonea huruma. Pole sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom