well said mkuuMaisha ya ndoa ni changamoto sana....ukiwa na fikra za kutomuamin mwenzi wako utajiumiza ww na nafsi yako maana kila wakat utataka ujue yuko wapi,na nani,anafanya nn kwann n.k....
Hii hali n mbaya sana,instead muache tu ajichunge yy mwenyewe maana huwez kumchunga MTU mzma kama wew, akinuia kuchepuka atachepuka tu ila za mwizi n 40,hawez danganya bila kuja kukamatika....
Usipomuamin mwenzi wako hata akikuambia jambo LA kweli wew utahis kachepuka tu na akishajua wew unamuspy sana na humuamin ndio ataamua kufanya kweli ili tuhuma unazomtuhumu zithibitike...
Aminianeni tu
HahahahaYeah, ushachapiwa haina jinsi kubali matokeo.
Sikh zingine mkeo akisema ana mgonjwa, unamsindikiza kuepusha hayo yote, na mtarudi wote hamtalala huko tena, ila pole Mkuu njoo pm nikupe majibu sahihi ya issue yakonoted.
Ungejua kuwa mwanamke hatabiriki kama mvua za dar wala usingempa huu ushaurTafuta pesa ndugu, hizi drama zitaakuwa hadithi kwako...
Mkuu unacheeka kuona mwenzio kachapiwa.Hahahaha
Nikweli angeumia ila angekua na kizibiti ambacho kingetumika kwenye maamuzi yake yuu ya tukio husikaAngeenda kujiumiza zaidi kwasababu ni wazi kabisa angemkosa hapo kwa kaka ake.
Bora amekubali matokeo kiungwana maumivu sio makubwa saana
HujamboMawazo yako finyu
Hiyo kauli ya mwisho hiyo ndiyo shida ....dah! Wanaume tuna wivu sanaaa sema basii tuHayo ni mawazo yako tu potofu kwanza papuchi haina makombo
sawa leo kwangu kesho kwako mkuu
naona una uchungu sana kwanza umekimbikia kuoa ya nini? Ungetakiwa ukule kwanza papuchi mpaka mnyama aote sugu kisha ndo uamue kutafuta wa kuzeeka naye ona sasa ushatengeneza kapreshaLabda ya mchumba ila mke hapo kuna ualakini aseeHayo ni mawazo yako tu potofu kwanza papuchi haina makombo