Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaah nahisi nimechapiwa na sina namna

Daaaah out off mood

Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.

Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee

wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Umemuowa na mnawatoto wangapi?
 
Nakumbka nna ex wng, alikuwa ananiaga anaenda kwa Dada ake kumbe anapeleka papuchi kitaa kwingine, nilivyogundua nikamwambia akajiliza Liza nikavunga yameisha siku kazama upya kwangu deep nkamwacha mpk sasa huwa haelewi ni kwanini nilimwacha
Yap hiyo ndo revenge
 
Unawaza Vibaya Mkuu, Inawezekana Anachokuamboa Ni Kweli... Hata Hvo Ww Ndo Unamjua Zaidi. Pole sana
 
tatizo ni wewe ambae humuamini baby wako kiasi cha kumuwazia analiwa tu,na kwakweli kwahayo mawazo yako ataliwa sana
 
Hawa watu ishi nao nao kama marafiki tu! Ila usimweke akilini atakutesa sana tafuta hela kwa ajili ya maisha yako na wanao japo inawezekana wengine akakusingizia we tunza tu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom