yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,917
- 4,170
Wasi wasi pia ni akiliNakukumbusha; Ukiwa Na Mawazo Negative Kila Wakati Utaishi Kwa Tabu Na Bila Amani.

Hata kama atamuomba mzigo ni lazima atapewa tena kwa ujuzi wa hali ya juu tena kwa energy kubwa mno ili kuficha alichokufanyia. Atajifanya kakumis kumbe sifuriUkiweza muombee game Leo utaona utofauti aisee...!!
Usikute bidada ndo sponsor wako halafu unaleta wivu wa kikudando nataka nifanye hivoo
Nimekupenda Bure kwa maneno ya farajaHayo ni mawazo yako tu potofu kwanza papuchi haina makombo
mawazo yako tuuuu mke kutokupokea cm ni kawaida sana inategemea na jinsi ulivyomfudisha kama kakuzoea saaaaana na we umeshaonyesha kumpenda sana basi pokea machungu yake hawa viumbe hupaswi kuwapenda sana hadi wakajua unawapenda ni lazima watakuua we nahc siku zako za kufa zinahesabika,omba sana Mungu akupe ujasiri na uvumilivu japo back up inahusu ila ni dhambiDaaaah out off mood
Ipo hivi jana mwanamke wangu alinaiga akanambia anaenda mbezi kwa kaka yake ,Mke wa kaka yake amejifungua mtoto akaniaga vizuri akaondoka. Nikamuambia ukifika unambie akasema poa amefika hakusema nikampandia hewani akapokea tukaongea kidogo coz alikua anakula akasema tutaongea badae kimyaa nikamvutia waya hajapokea simu nika mute mda kidogo nikamvutia tena waya kimya simu haikupokelewa daaah.. nikamtumia text ajajibu ikabdi nilale zangu mpak asubuhii.
Asubuhi nikamtext kumjulia halii kimyaa baadae saana kwenye saa mida ya saa nne hivi ndo ananitafuta ananiambia kuwa eti jana alkua busy kumuangalia wifi yake na simu aliiyacha chumbani ikabidi tuu niwe mpolee maana nilikua sina namna.. na maeneno mengi aliongea ikabdi ni mute tuu aiseee
wakuu kwa mkasa huu nahisi nimechapiwa? au nimawzao yangu tuu finyuu?
Kumbe hajamuoaUngekuwa umemuoa ningekushauri kitu. Lakini huyo huna leseni nae.
Daaaah out off mood