Cycles zako JF

Cycles zako JF

Ndiyo yenyewe
IMG-20260415-WA0001.jpg
 
Wazee wa hovyo.. Vijana wasiiogopa😂
 
Ila Gran pah kwa kupenda kutibua mambo uko vizuriii, afu huwa unaanzia mbalii sana. Lol
 
Walikuwa wanamdiss cocastic
Km ni hivyo basi hao ni mataahira na wao mbona ni mashoga. Si madume yale

Halafu coca sio shida zake na ndiomana boss wao akaingia kwa bwanake coca, sasa inatakiwa wamuulize boss wao km coca ni shoga je, huyo boss wao naye alikuwa anafanywa nini na bwana wa coca??! Simple mathematics

Waambie waje na diss mpya hii haina afya ishazoeleka JF
Khaaaah!! Mabwakuuu.
Kumbe Hii ndio Dis enyewee??

Afu mbona sijawahi kujificha humu ndani, niko winja winja na leleleleee, na bwana nikawa nae na alinitambulisha wazi wazi humu jukwaanii.

Sio yeye kutwaa kumfata PM Bwana, eti huyo coca anakupa nini hadi umelewa hivyo, tena asubuhi hata hajaamka kwenda kazini. Na PM zote alikua ananioneshaa

After then wakaandaa group la kutaka kunipindua, mnyaki wa watu wakampanga eti nae kujifanya juu wakati hapa JF nilimpokea mie, na mie ndo nilimsarandia kwa mtu akamkataa hamtamki diploma, anataka Degree

Bas alivyoona kuna lecturer wa course yangu si akajifanya kumfata kumuuliza km ananifahamu, mwenzake akamktalia simjui na sidhani hata yeye km ananijua, wakati mie namjua ila yeye hanijui.

Eti alikua ana muambia amsaidie kumsomesha, akamgomea
Na kundi likarapaganyikaa , jamaniiiii

Kiuno kigumu ndio hicho kilichomteka Ex wake, na akaja kwanguuu.

Afu hii naimudu bhanaa, waje na segment mpyaa.
 
Back
Top Bottom