Cycles zako JF

Cycles zako JF

Khaaaah!! Mabwakuuu.
Kumbe Hii ndio Dis enyewee??

Afu mbona sijawahi kujificha humu ndani, niko winja winja na leleleleee, na bwana nikawa nae na alinitambulisha wazi wazi humu jukwaanii.

Sio yeye kutwaa kumfata PM Bwana, eti huyo coca anakupa nini hadi umelewa hivyo, tena asubuhi hata hajaamka kwenda kazini. Na PM zote alikua ananioneshaa

After then wakaandaa group la kutaka kunipindua, mnyaki wa watu wakampanga eti nae kujifanya juu wakati hapa JF nilimpokea mie, na mie ndo nilimsarandia kwa mtu akamkataa hamtamki diploma, anataka Degree

Bas alivyoona kuna lecturer wa course yangu si akajifanya kumfata kumuuliza km ananifahamu, mwenzake akamktalia simjui na sidhani hata yeye km ananijua, wakati mie namjua ila yeye hanijui.

Eti alikua ana muambia amsaidie kumsomesha, akamgomea
Na kundi likarapaganyikaa , jamaniiiii

Kiuno kigumu ndio hicho kilichomteka Ex wake, na akaja kwanguuu.

Afu hii naimudu bhanaa, waje na segment mpyaa.
Miaka mitano sasa bado unapigana vita zile zile zisizokua na maana

Btw haya maneno maana yake nini
Shengesha
Le le le le le
Winja winja
Njegeka
 
Uduguu em wait, mnyaki unayemsema yupi?
Yule shogaake mweusi mwenye sura km kanyagio la mbuzi au yupi?

Yule si wote walipelekewa moto na miongozo?
Kwahiyo na kwa bwanaako nako walitaka kupiga collabor tena??

Ila JF ina malayer wachafu wanapasiana midyudyu hawaogopi hata magonjwa lol!
Uduguuuu!!
Nimechekaa, ila wee una dhambi ujue khaaa? Inaweza ikawa double chance kwa watu 2 afu segment 1.

 
Back
Top Bottom