Blockchain
JF-Expert Member
- Feb 27, 2026
- 950
- 2,642
😁😁😁Mwana! Utani pembeni let's do ze needful😂
Hapa Utani haupo, hii inafanya nimewasha radar zote.. ndege itayojipendeza angani naishusha chini
😁😁😁Mwana! Utani pembeni let's do ze needful😂
Kijana wa hovyo kwenye moja na mbili 😂😂😁😁😁
Hapa Utani haupo, hii inafanya nimewasha radar zote.. ndege itayojipendeza angani naishusha chini
Cycle lina hadi michicha mibaCycle la wadangaji na makurumbembe🤣
Njoo posta tule pwezaa wewe mshangaziKijana wa hovyo kwenye moja na mbili 😂😂
Hii ya kuitwa mshangazi imeniuma sana aisee😭😭Njoo posta tule pwezaa wewe mshangazi
Na wazazi hadi askari🤣View attachment 3580130
Wewe, Kiranga na Mrangi ni Elites 😂Kwakweli sina list rasmi ya Elites
Lakini hapa tuna wadau wana connection ya kila kitu
Kuanzia vikubwa mpaka vidogo
Vizuri mpaka vibaya 😀
😂😂Hahahaha😂😂
Sawa sweetie 😘Hii ya kuitwa mshangazi imeniuma sana aisee😭😭
Jaribu kua romantic 😍 eboo
Again 🤭Sawa sweetie 😘
Sweeeetieee huba nyonga mkalia ini 😍😍.. Nikutumie location na haka ka mvuaAgain 🤭
Kicwa kiko wap sasa
😂😂 kwani 2 Million haitoshiiBackup ipo hapa
Pochi Nene🔥 (Microfinance kabisa)
Machine full loaded, full service
Kiatu kashata