Cycles zako JF

Cycles zako JF

😂😂 jamani nilipaka mkongo is not fair
Apo msaada wa haraka ni bao la mkono tu amna namna
downloadfile-2.jpg
 
Cycles zako JF ni zipi?
Kumbuka ukikaa karibu na uaridi(waridi) utanukia.. Lakini pia ndege wafananao huruka pamoja
Una team na nani?
JF Elites?
Wambea?
Wazee wa connection
Ma bazazi?😀
Wala bata!? Stress free
Kilinge cha wapigaji?
Haters wasilojitambua?
Walimu na wakufunzi?pamoja na kuwa na majukwaa mbalimbali lakini tuna common sharing zenye muingiliano kwenye kila jukwaa

Baadhi ya cycles hupenda hata kualikana kwenye mada zao👑View attachment 3580104
📌Planet Data bundles was Here
 
Back
Top Bottom