Huku ni kutafuta sifa pasipotakiwa. Huyu dogo hajui aina ya watu anaodeal nao yaani walimu. Anasema tupewe vitambulisho vya kuwaonyesha mako dakta tutabeba vitambulisho vingapi ukizingatia ninacho cha benki, cha kazi na bima ya afya?
Anatusemea kwa tafiti ipi aliyoifanya juu ya walimu kuwahi au kuchelewa kazini? Nimuonye tu, aache kutuchimba kwani tumezivumilia hizi serikali na aina ya viongozi wa aina yake na tupo karibu kupasuka. Aache kutuletea siasa kwani siyo mahali pake.